Blender
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 6,895
- 11,025
Sekretarieti ya AjiraKufa kwa sekta binafsi kunachochea sana hili swala la upungufu ama ukosefu ajira ingawa c asilimia zte....Sekta binafsi ipo ktk Hali mbaya sana.....Yote kwa yote wafanyakazi wa utumishi wanaosimamia michakato ya ajira ni wachache sana....HAWATOSHI. Tutalaumu Kila siku