Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Yan usaili wa June ,placement inatoka Leo sijui wa September placement ztatoka lini?
Lazima watoe tena kabla ya mwezi kuisha maana kuna ile ya chuo cha ADEM, hivyo awawezi pita huu mwezi bila kutoa kwani chuo kinafunguliwa tarehe 23 mwezi huu, na waliofanya usaili wa TUTOR chuo cha adem ni wengi sana hivyo lazima wapatikane kabla chui hakijafunguliwa naamini kati ya tarehe 12-20 lazima pdf isome tena
 
Naona wameweka pdf ya kuita watu kwa usaili ila NAOT na HESLB bado bilabila. Ila wale wa NIT, ATC, NPS, IRDPA, MDA & LGA...Cheki majina yenu kama yapo.
Ila PSRS wanautani sana Niliomba nafasi ya EXAMINATION OFFICE II chuo cha ATC . Tumeitwa watu 596 wakati nafasi yenyewe ni moja tu pia ndiyo mara ya kwanza kuona nafasi hii ina saili tatu, ya kwanza ni WRITTEN mchujo, yapili ni VITENDO mchujo na yamwisho ndio ORAL . Ya written na oral ni kawaida kwa post hii ila vitendo ndio mara ya kwanza naona kwa post hii ya EXAMINATION OFFICE. kwa idadi ya watu 596 bora nauli yangu ya kutoka Dar to Chuga nishonee kaunda suti kwa ajili ya saili za mbeleni kama nikifanikiwa kufika oral[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Naona wameweka pdf ya kuita watu kwa usaili ila NAOT na HESLB bado bilabila. Ila wale wa NIT, ATC, NPS, IRDPA, MDA & LGA...Cheki majina yenu kama yapo.
afisa biashara TAMISEM wameweka??? Mana nkicheck kwangu haifunguki
 
Mm pia naisubiri hii
 
Mkuu ni UDSM ipi ambayo wanaanza direct kwenye oral kwa maana ya kwamba hakunaga written ?

Mimi nilidhani written huwa inakuwepo kama waombaji ni wengi ili kuwachuja kwanza ndipo wapatikane wachache wa kwenda oral.
Kama waombaji sio wengi basi automatically hakuna haja ya kuwa na written. (Kwa ufahamu wangu hii ina apply kwa vyuo vyote au nafasi zote za ajira, hata zile za PSRS wenyewe).

Tazama hapo ratiba ya saili za UDSM (zilizotangazwa jana), utaona kuna tarehe za usaili wa mchujo (written) kwa baadhi ya kada.

 
Wadau nimebahatika kuitwa interview kada ya TA ICT pale ATC mwenye exprience ya pepa ya practical naomba anipe abc
 
Usiogope idadi mzee we nenda kapambanie riziki yko unapata tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…