Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Examination officer practical ya nn? Hawa jamaa wahuni sana nadhani wameona watu wengi sana kwa idadi hiyo duuuh hatari nafasi 1 watu 596 aisee nchi ngumu hii
 
Jobless mnapataje nguvu ya kuwa na makasiriko mkiangusha nyanya za watu mna ela ya kulipa?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Imagine uparamie dishi la nyanya la mchuuzi barabarani, sipati picha kwenye kashkash yake halafu huna hata senti mfukoni.

Jobless Mungu atunusuru!
 
Lazima uwemo mkuu,hawana sababu ya kukukata.
Itakuwa jambo jema, ni bora upatiwe nafasi ya kukandwa written ila usiwe na wa kumlaumu maana written huwa inatuacha tukiwa wapole[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Sasa PSRS Hawa mchezo mlitaka Wenyewe placement na call for interview Wanamwaga tu
NAWAOMBEA WAPAMBANAJI MKAFANYE VIZURI

pia mungu atie wepesi taasis zingine nazo zitangaze kazi wasiio na received nao wa apply kazi
 
Hahahahaa, mkuu nenda, zari linaweza likawa upande wako ukabahatika kuwekwa hata kwenye kanzi data
 
Mkuu una mikeka mingi pending..

Jalia ukiitwa yote hiyo, kapambane hadi tone la mwisho la jasho, utatoboa
 
Hahahahaa, mkuu nenda, zari linaweza likawa upande wako ukabahatika kuwekwa hata kwenye kanzi data
Kwa ufatiliaji wangu, nimegundua mara nyingi wanaofanya/kuhudhuria saili za mchujo huwa ni nusu ya "shortlisted candidate" hasa kwa sail zetu zinazoita watu wengi. Asikate tamaa, aende apate na uzoefu wa kukabilia na saili zijazo kabla hajashona hiyo "kaunda".
 
Wadau nimebahatika kuitwa interview kada ya TA ICT pale ATC mwenye exprience ya pepa ya practical naomba anipe abc
Kila la kheri mkuu, kapambane.

Mungu awe upande wako
 
Sasa PSRS Hawa mchezo mlitaka Wenyewe placement na call for interview Wanamwaga tu
NAWAOMBEA WAPAMBANAJI MKAFANYE VIZURI

pia mungu atie wepesi taasis zingine nazo zitangaze kazi wasiio na received nao wa apply kazi
Ahsante sana Jobless mstaafu[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kweli mkuu.

Written yangu ya mwisho tulienda watu nusu ya shortlisted ingawa pia hilo lilichangiwa na watu kugawanyika kwenda kwenye written nyingine iliyopangwa muda sawa na niliyofanya
 
Mbona nafasi ya Afisa Utumishi katika MDs na LGs zijaziona?, Pia nafasi ya Admission Officer ya Open hazipo. Miezi 5 tunapeana stress tu. Nchi hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…