Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Watafute mzee kuna jamaa yangu aliwacheki wakamuita majina ya nyongeza
Mkuu napataje mawasiliano yao maana yaliyopo pale namba zote hazipatikani nisaidien maana wanasema marefa watatu sijawaweka wakati wapo toka muda na kuna interview nimefanya na nasubir placement

Nisaidien wakuu wanijumuishe ili nikawakande vizuri.
 
Hawa utumishi wange weka zone
Mfano dar:- watu wanaotoka mtwara,lindi, wanakuja dar kupiga pepa,wengine huko mbeya,Iringa,ruvuma wanakutana Dodoma.
Mwanza,geita,shinyanga wanakutana tabora hapo.
Au mnaonaje hilo waungwana?
 
Yaani ratiba yetu ICT security tunafanya written Dodoma alafu prac Dar tunamalizia oral Dodoma

Information system auditor tunafanya written Dodoma alafu prac na oral tunamalizia Dar 😂
 
Dah..nauli hizo za kuwazungusha hivyo wanawapa au?
 
Yaani ratiba yetu ICT security tunafanya written Dodoma alafu prac Dar tunamalizia oral Dodoma

Information system auditor tunafanya written Dodoma alafu prac na oral tunamalizia Dar 😂
😂😂😂😂Hahhhhh nimecheka kama mazuri vile hahhh pole mkuu
 
Mkuu napataje mawasiliano yao maana yaliyopo pale namba zote hazipatikani nisaidien maana wanasema marefa watatu sijawaweka wakati wapo toka muda na kuna interview nimefanya na nasubir placement

Nisaidien wakuu wanijumuishe ili nikawakande vizuri.
Mkuu mwenyewe nilishawahi kupata kitu kama yako na nikaitwa kabisa kwa interview Moja ila nyingine nikatemwa the thing ni kwamba hakikisha umeweka marefaree watatu kwenye account yako na pia hakikisha umeweka marefaree watatu kwenye Ile CV yako uliyoiupload kwenye other attachments nadhani kwenye hizo sehemu mbili huenda moja(kama sio zote) ikawa na tatizo, Anzia hapo kwanza kabla ya kuwatafuta wao.
 
Vip nikiwacheki wanaweza weka sawa? sure other attachment niliweka referee wa 2 badala ya wa3 vip nikiwachek wata ni add

Vip wewe baada ya hayo yote walikuita?

Nawasiliana nao vip kwa simu (hazipatikani)

Kuna email spercial?
 
Back
Top Bottom