Ila hili la status mbona kama halijawahi kuwa kiashiria halisi cha kulamba asali....Ni kweli majibu hayatoki mkuu lakini je kwanini status zibadilike after interview? hauoni uhusiano hapo?
Subiri Pdf.kabla ilikuwa selected for oral na haijawai change.
Zipo Not Selected for Oral baada ya Interview kweny AppIla hili la status mbona kama halijawahi kuwa kiashiria halisi cha kulamba asali....
Mm nachojua itabadilika kutoka received kuwa shortlisted then kutoka shortlisted kwenda selected for/not selected for oral interview
Anaekuwa selected for oral interview anaenda kufanya oral anaskilizia PDF basi
Sasa kaka ushamaliza oral interview halaf uandkiwe not seleced for oral interview sjashuhudia mtu wa hivyo labda kama yupo aliwah fanya oral halaf baadae status ikawa not selected for oral interview atwambie
Mim kwangu baada ya kupita mchujo niliandikiwa SELECTED FOR ORAL Kwenye App baada ya kwenda pale migiro na kufanya oral yangu ,nikarudi zangu kitaaa so last week naingia kule App nakuta NOT SELECTED FOR ORAL but kwnye web yao bado ipo SELECTED FOR ORAL hvyo kufuata maelezo ya walamba asali,wenye mauzoefu ya kupga oral bila kupata kazi wanasema hapo sina changu nishakula NDOIGE ya kushoto na kuna member mmoja hapo anasemaga BABAJEN BAIBAI ni hvyoo yani kujipanga kwa next received japo baadhi ya wadau wanaema pdf ndo habari ya mjiniIla hili la status mbona kama halijawahi kuwa kiashiria halisi cha kulamba asali....
Mm nachojua itabadilika kutoka received kuwa shortlisted then kutoka shortlisted kwenda selected for/not selected for oral interview
Anaekuwa selected for oral interview anaenda kufanya oral anaskilizia PDF basi
Sasa kaka ushamaliza oral interview halaf uandkiwe not seleced for oral interview sjashuhudia mtu wa hivyo labda kama yupo aliwah fanya oral halaf baadae status ikawa not selected for oral interview atwambie
Mkuu kwa mfano umefanya interview ya oral nikimaanisha hakuna written wao huwa inakuwaje ilihali unapoitwa inasoma shortlisted? Je ukitoka kwenye hiyo oral bado itasoma shortlisted?Ila hili la status mbona kama halijawahi kuwa kiashiria halisi cha kulamba asali....
Mm nachojua itabadilika kutoka received kuwa shortlisted then kutoka shortlisted kwenda selected for/not selected for oral interview
Anaekuwa selected for oral interview anaenda kufanya oral anaskilizia PDF basi
Sasa kaka ushamaliza oral interview halaf uandkiwe not seleced for oral interview sjashuhudia mtu wa hivyo labda kama yupo aliwah fanya oral halaf baadae status ikawa not selected for oral interview atwambie
itakuwa poaSubiri Pdf.
Mkuu hii iko wazi kabisa huwa zinabadilika wengi humu pia wameshuhudiaMim kwangu baada ya kupita mchujo niliandikiwa SELECTED FOR ORAL Kwenye App baada ya kwenda pale migiro na kufanya oral yangu ,nikarudi zangu kitaaa so last week naingia kule App nakuta NOT SELECTED FOR ORAL but kwnye web yao bado ipo SELECTED FOR ORAL hvyo kufuata maelezo ya walamba asali,wenye mauzoefu ya kupga oral bila kupata kazi wanasema hapo sina changu nishakula NDOIGE ya kushoto na kuna member mmoja hapo anasemaga BABAJEN BAIBAI ni hvyoo yani kujipanga kwa next received japo baadhi ya wadau wanaema pdf ndo habari ya mjini
Umefaulu wait for pdfMTAKWIMU II
Hii sjui labda kupata uzoefu kwa walowahi fanya usaili wa hiviMkuu kwa mfano umefanya interview ya oral nikimaanisha hakuna written wao huwa inakuwaje ilihali unapoitwa inasoma shortlisted? Je ukitoka kwenye hiyo oral bado itasoma shortlisted?
Kuna jambo linakera sana utumishi hasa kwenye βOralβ. Unakuta umeulizwa swali umeanza lijibu kwa kutaja point ile unaanza elezea wanakukatisha wanakwambia just mention wanakera sana. Kama mtu anataka kuelezea wamwache kumkatisha mtu haiependezi kabisa.
Tatizo muda mkuu,
Sawa mkuu ngoja tusubiri waje na majibu hapaHii sjui labda kupata uzoefu kwa walowahi fanya usaili wa hivi
SawaSawa mkuu ngoja tusubiri waje na majibu hapa
Mim kwangu baada ya kupita mchujo niliandikiwa SELECTED FOR ORAL Kwenye App baada ya kwenda pale migiro na kufanya oral yangu ,nikarudi zangu kitaaa so last week naingia kule App nakuta NOT SELECTED FOR ORAL but kwnye web yao bado ipo SELECTED FOR ORAL hvyo kufuata maelezo ya walamba asali,wenye mauzoefu ya kupga oral bila kupata kazi wanasema hapo sina changu nishakula NDOIGE ya kushoto na kuna member mmoja hapo anasemaga BABAJEN BAIBAI ni hvyoo yani kujipanga kwa next received japo baadhi ya wadau wanaema pdf ndo habari ya mj
Mimi ilianza selected for oral baadae selected for nullMim kwangu baada ya kupita mchujo niliandikiwa SELECTED FOR ORAL Kwenye App baada ya kwenda pale migiro na kufanya oral yangu ,nikarudi zangu kitaaa so last week naingia kule App nakuta NOT SELECTED FOR ORAL but kwnye web yao bado ipo SELECTED FOR ORAL hvyo kufuata maelezo ya walamba asali,wenye mauzoefu ya kupga oral bila kupata kazi wanasema hapo sina changu nishakula NDOIGE ya kushoto na kuna member mmoja hapo anasemaga BABAJEN BAIBAI ni hvyoo yani kujipanga kwa next received japo baadhi ya wadau wanaema pdf ndo habari ya mjini
Status sio issue sanaa mm ilianza selected for oral then selected for null na kazi nlipataSawa mkuu ngoja tusubiri waje na majibu hapa
Asante mkuu, vipi wewe ulifanya written?Mimi ilianza selected for oral baadae selected for null
Status sio issue sanaa mm ilianza selected for oral then selected for null na kazi nlipata
Mimi ilianza selected for oral baadae selected for null
Status sio issue sanaa mm ilianza selected for oral then selected for null na kazi nlipata
Usikate tamaa...keep on pushingWakuu nimefanya interview mbili za utumishi.
Sijapita hata moja .
Nimekata Tamaa.
πππ hapo kituon mkuu ,hicho kituo kinapatikana Kinyerezi kama unaenda Mbezi.Mkuu makofia360 nipo maeneo yako hapa.View attachment 2667546
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app