Hiyo Utumishi haiwahusu lazma waendelee kutoa placement.Hivi sihitakuwa mwezi wa 8 Yaan kuanzia Agust ,,,Maana mwzi wa saba a/c zote za serikali huwa zinafungwa na kufunguliwa mwezi wa nane
Pili,Sikuhizi mfumo wa MUSE (Mfumo wa Malipo Serikalini) upo fasta ku upload New Bugdet na Bakaa(Carryover) inaeza chukua week mbili tu za July
Tatu,Fuatilia Utumishi Last year July 2022 utaona Walikua wanatoa placement kama kawa.