HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hivi sihitakuwa mwezi wa 8 Yaan kuanzia Agust ,,,Maana mwzi wa saba a/c zote za serikali huwa zinafungwa na kufunguliwa mwezi wa nane
Hiyo Utumishi haiwahusu lazma waendelee kutoa placement.
Pili,Sikuhizi mfumo wa MUSE (Mfumo wa Malipo Serikalini) upo fasta ku upload New Bugdet na Bakaa(Carryover) inaeza chukua week mbili tu za July
Tatu,Fuatilia Utumishi Last year July 2022 utaona Walikua wanatoa placement kama kawa.
 
Ushuhuda wangu
Kwenye app
1. Shortlisted for oral
2. Selected for null
3. selected for oral- pdf(asali) ya halmashauri
 
Afuatilie kuanzia sasa ili tatizo liweze kutatuliwa na atapata mshahara wa mwezi huu ingawa kwa kuchelewa
 
So inawezekana kupata mwezi huu or ndo ishatoka Hadi mwezi ujao?
Utapata, fuatilia kwa HR ili afix hiyo shida.

Ma HR wanaojielewa huwa wanawauliza watumishi wapya kama wamepata mshahara na wale ambao hawajapata wanaagizwa kutoa taarifa ili follow up ifanywe.

Ukikaa kimya inakula kwako, maana yeye(HR) anaamini kapeleka taarifa zote sahihi kumbe, zingine kakosea. Kwa hiyo inahitaji kifuatiliwa
 
Nashkuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…