Ila umesahau kunamjadala kwenye thread humu tulihoji kwann watu wanapigiwa simu kuripoti kituo cha kazi bila update yoyote ya utumishi ya majina yao....!!!Ndo misunderstanding tunazoziona sasa wewe unajua bado hawajaisha ila umesahau kunawengine wana prove humu wanapigiwa simu kulipoti kazini...Nilisema humu mapema kabisa nikaonekana mbaya,sasa hao utumishinwa mahakama tyr wameita kazini,soon zitapigwa interview za TRA na watu wataitwa kazini....afu wale wenzangu na Mimi wa MDA&LGA ambazo idadi yake haijatimia bado tuendelee kunywa mchuzi nyama tutazikuta chini!!!ajira 2000 zimekuwa ngumi kusimamiwa je hawa wakipewa zile za TAMISEMI si bajeti tatu zitapita ndio watu waitwe kazini..tukisema kuna kauzembe kanafanyika tukubaliane tu maana kuna vingine mtu mwenye maarifa na utashi ukitetea unaonekana ni mtetezi wa tumbo tu...ndio yale watu wanauliza vipengele vya mkataba wa baleke mtu anajibu baleke anacheza vizuri sana atatufaa tumsajili tu.
Nilisema hapo juu watu kama nyie hamkosekani,watu tunazungumzia kuhusu mchakato unaoendeshwa na haohao utumishi,miongozo ipo wazi wewe unasema alipigiwa simu!!ni official channel ya information hiyo au ndio kufumba watu macho kupitia hicho kichaka??ndio maana nikasema watu kama nyinyi mpo,mtu nauliza vipengele vya mkataba wa simba na baleke wewe unatetea hoja kwa kusema baleke ni mzuri tangu anacheza mazembe,sasa hapo mwenye jukumu la kuwa wazi ni utumishi au ni sisi tuanze kutafuta waliopigiwa simuIla umesahau kunamjadala kwenye thread humu tulihoji kwann watu wanapigiwa simu kuripoti kituo cha kazi bila update yoyote ya utumishi ya majina yao....!!!Ndo misunderstanding tunazoziona sasa wewe unajua bado hawajaisha ila umesahau kunawengine wana prove humu wanapigiwa simu kulipoti kazini...
Tuzidi kuomba Mungu
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Tuko pouwa mkuuHumu wazima wote??
Kama ni kweli, kwangu kote zinasoma selected for oral, App n Web. Nijiandae kushona suti 😎😃😎Nimeelewa
Kwenye app selected for oral ..means utapangiwa, selected for null maana umefaulu ila upo database subiri tu. But not selected for ....means out .jipange upya
Mada ya status ndo huwa kama inaamsha group na wakati mwngine kutoa matumaini kwa baadhi.Kama ni kweli, kwangu kote zinasoma selected for oral, App n Web. Nijiandae kushona suti [emoji41][emoji2][emoji41]
Nilisema humu mapema kabisa nikaonekana mbaya,sasa hao utumishinwa mahakama tyr wameita kazini,soon zitapigwa interview za TRA na watu wataitwa kazini....afu wale wenzangu na Mimi wa MDA&LGA ambazo idadi yake haijatimia bado tuendelee kunywa mchuzi nyama tutazikuta chini!!!ajira 2000 zimekuwa ngumi kusimamiwa je hawa wakipewa zile za TAMISEMI si bajeti tatu zitapita ndio watu waitwe kazini..tukisema kuna kauzembe kanafanyika tukubaliane tu maana kuna vingine mtu mwenye maarifa na utashi ukitetea unaonekana ni mtetezi wa tumbo tu...ndio yale watu wanauliza vipengele vya mkataba wa baleke mtu anajibu baleke anacheza vizuri sana atatufaa tumsajili tu.
sure na itapendeza pia kule mtu ukipata kazi wawe waaandika kabsa like Hongera umepangiwa kazi au hongera umeingia katika data base, wengine waliokosa waambiwe pole,jaribu tena baadae.Mada ya status ndo huwa kama inaamsha group na wakati mwngine kutoa matumaini kwa baadhi.
Kikubwa ni psrs kutafuta namna ya kuwahisha mchakato kuondoa sintofahamu kama hizi za kustressisha wasaka asali
Kama ni kweli, kwangu kote zinasoma selected for oral, App n Web. Nijiandae kushona suti [emoji41][emoji2][emoji41]
Nimeelewa
Kwenye app selected for oral ..means utapangiwa, selected for null maana umefaulu ila upo database subiri tu. But not selected for ....means out .jipange upya
Niaje wadau,naomba kujua mshahara wa afisa hesabu daraja II katika wizara ya elimu,sayansi na teknologia ni kiasi gani!?
Hii 780 ni ya kwenda nayo home au makato yatakatwa hapo[emoji2960]TGS D ni kwenye 780,000 kama sikosei kama niko wrong watakuja wajuzi.
Hongera sana kwakeTunamshukuru sana Mungu kwa baraka na fadhira zake kuu,
Hatimaye Bint yetu pia na yeye ameitwa Kazini hapo "Tume ya Utumishi wa Mahakama".
Amin.
Hapo bado makatoHii 780 ni ya kwenda nayo home au makato yatakatwa hapo[emoji2960]
AnhaHapo bado makato
Hii 780 ni ya kwenda nayo home au makato yatakatwa hapo[emoji2960]