Address yako umeweka wapi?MREJESHO:Asanteni sana ndugu zangu.....Kuna namba nilitumiwa nijaribu nayo pia baada ya kupiga sana wakapokea!!Nimewaeleza ilivyokua na wakaniuliza majina yangu matatu wakanichekia kwa system wakanambia nitakua nalog in kwenye akaunt yangu ya ajira portal niwe nachungulia mara kwa mara wamenambia hadi jumatano nitakua na majibu kamili.....
Nimewaza sijui wataamua nini maana yalikua makosa yao na mfumo wao....
Hiyo namba iliyopokeleka japo kwa kupiga sana ungeiweka hapa mkuu kama hutojali watu wana shida mbalimbali zinaweza kutatulika pia bila kupoteza gharama kubwa kuwafuata hawa psrsMREJESHO:Asanteni sana ndugu zangu.....Kuna namba nilitumiwa nijaribu nayo pia baada ya kupiga sana wakapokea!!Nimewaeleza ilivyokua na wakaniuliza majina yangu matatu wakanichekia kwa system wakanambia nitakua nalog in kwenye akaunt yangu ya ajira portal niwe nachungulia mara kwa mara wamenambia hadi jumatano nitakua na majibu kamili.....
Nimewaza sijui wataamua nini maana yalikua makosa yao na mfumo wao....
Pole sana kakamm nishakata tamaa kabisa.. niliapa kabisa kama sitopata Mdas na Lgas sitoomba tena ajira psrs ..nmesoma kwa tabu sana..kipindi cha writen nilikuwa nalala masaa 2 tu kwa siku…kwenye kikazi nilicho jishikiza ilibaki robo tu nifukuzwe kwa ufanisi kupungua ….inakatisha sana tamaa..Tanzania life is not fair kabisa..tunaishi maisha ya roho juu mda wote.. watoto wa kimaskin njia zetu ngumu sana
Pole sana Mkuumm nishakata tamaa kabisa.. niliapa kabisa kama sitopata Mdas na Lgas sitoomba tena ajira psrs ..nmesoma kwa tabu sana..kipindi cha writen nilikuwa nalala masaa 2 tu kwa siku…kwenye kikazi nilicho jishikiza ilibaki robo tu nifukuzwe kwa ufanisi kupungua ….inakatisha sana tamaa..Tanzania life is not fair kabisa..tunaishi maisha ya roho juu mda wote.. watoto wa kimaskin njia zetu ngumu sana
Pole sanamm nishakata tamaa kabisa.. niliapa kabisa kama sitopata Mdas na Lgas sitoomba tena ajira psrs ..nmesoma kwa tabu sana..kipindi cha writen nilikuwa nalala masaa 2 tu kwa siku…kwenye kikazi nilicho jishikiza ilibaki robo tu nifukuzwe kwa ufanisi kupungua ….inakatisha sana tamaa..Tanzania life is not fair kabisa..tunaishi maisha ya roho juu mda wote.. watoto wa kimaskin njia zetu ngumu sana
Dah umenikumbsha maumivu ya hii siku hawa jamaa kwa kweli wajipange sanaVijana waliofanya practical interview ya eGA pale TIA, wanakwambia vichekesho tu computer zao mifumo mibovu zaidi ya nusu saa unaisubiri Ina reboot. Halafu server moja Kwa wote kwahiyo shida tupu. Ukimwita msimamizi ukimwambia tatizo anakwambia isubirie tu itakuwa Sawa huku muda wako unaenda. PSRS wajipange sana
Jamaa alisafiri kutoka Meatu hebu fikiria hiyo adhabu na bado kakutana na majanga hayo. Mimi nafikiri itungwe SHERIA ya kuwashtaki PSRS wanapofanya uzembe hii itasaidia kuondoa mambo ya kijingaDah umenikumbsha maumivu ya hii siku hawa jamaa kwa kweli wajipange sana
Pole sana mkuu.. Usikate tamaa, endelea kupambana.. Atafutaye hachoki.mm nishakata tamaa kabisa.. niliapa kabisa kama sitopata Mdas na Lgas sitoomba tena ajira psrs ..nmesoma kwa tabu sana..kipindi cha writen nilikuwa nalala masaa 2 tu kwa siku…kwenye kikazi nilicho jishikiza ilibaki robo tu nifukuzwe kwa ufanisi kupungua ….inakatisha sana tamaa..Tanzania life is not fair kabisa..tunaishi maisha ya roho juu mda wote.. watoto wa kimaskin njia zetu ngumu sana
Sidhani kama hoja yako ina mashiko kwa hiyo unataka kusema raisi ndo kawaagiza wawe na utendaji mbovu?Tutawalaumu Bure tu hawa PSRS ila wanafuata maelekezo kutoka kwa rais, rais anatakiwa aangalie hawa wakuu anaowaweka kusimamia hii sekretarieti ya ajira, watendaji hawa wadogo wa chini tutawalaumu bure tu wao hufuata maelekezo ya wakubwa wao
Dar es salaamAddress yako umeweka wapi?
Ni hii hapa mkuu +255784398259Hiyo namba iliyopokeleka japo kwa kupiga sana ungeiweka hapa mkuu kama hutojali watu wana shida mbalimbali zinaweza kutatulika pia bila kupoteza gharama kubwa kuwafuata hawa psrs
Asante sanaHapo tayari...umeshaingia...Jiandae kwa INTERVIEW
Sijamaanisha hivyo, ninacho jaribu kuonesha hapa ni kuwa tunawalaumu watu ambao sio, hawa wanafata tu maelekezo kutoka juu kwa hao wakuu alowaweka rais kumbuka hii ni OFISI YA RAIS MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORASidhani kama hoja yako ina mashiko kwa hiyo unataka kusema raisi ndo kawaagiza wawe na utendaji mbovu?
Kwa maoni yangu rais angefanya reformation upya ili kuondoa hizi kero ndogondogo za waomba ajiraSidhani kama hoja yako ina mashiko kwa hiyo unataka kusema raisi ndo kawaagiza wawe na utendaji mbovu?