Udochi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 1,077
- 1,583
Huyo amekandwa,Mtu anapotoka kwenye chumba cha Oral interview anacheka au anatabasamu maana yake Nini? Amepasua paper au amekandwa? Mnatutisha wengine tuliobaki nje na ukizingatia nafasi yenyewe ni moja.
Ila anawaharibu wenzie kisaikolojia ili wakiingia ndani waongee pumba kama alivyofanya yeye!!!