Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Huu uzi ni mzuri sana kwa sis majobless yan ukija huku fulu kupata faraja yan unakuta huyu anaandaa suti ya kwenda Dom ,mwingine anaandaa pesa ya kulala pale Morena na yule mwngine anapanga saving za kila mwezi na mwngine tena anapanga fungu la 10 yan ni furaha sana but ngoja tusubiri placements
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…