Genuine raf
JF-Expert Member
- Jun 17, 2022
- 673
- 1,804
Na ukiwa umeshachoka pdf unaona linachelewa sana
Na ni Bora wangekua wanasema maximum time,kama adem badala ya kusema baada ya mwezi 1 wangesema hata miwili,iae badala ya kusema 3 weeks wangesema hata mwezi na nusu ingepunguza tension angalauMe kwakweli nishachoka sana