Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

😂😂😂😂Hizi threads zinatupaga faraja sana unakuja kupiga story kidogo na jobless wenzio
 
Nishakandwa tayari maswali mawili ni contract ya first year imagine[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Hahahahaa, pole sana.

Written yangu ya 2 nilikalishwa na swali la First, yaani muda nilikuwa nausikilizia jinsi unavyoisha huku nikiwa sina lolote la kujibu lile swali
 
Hizi faraja ni nzuri sana.

Zinaifuatia ile sauti ya ATM kwa ubora[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Yani mm huwa si comment but nafarijika sanaa
Asee wote tutaaga ujobless humu Amin🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…