Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Kote kuna changamoto ingawa haziwezi kufanana.aisee bora niwe mfanya biashara kuliko kuchezea hela kwenda kwenye enterview
Kwenye biashara panya road wakikuotea napo wanakurudisha hatua sifuri nyuma.
Tupambane kwa namna yoyote ile tunapoona tunaweza kutusua