Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Basi mkuuu kwenye huu Uzi nisha comment vitu vingi duh mpaka hiii dah ndo naikumbuka Kuwa nishawahi kuja hapa kulia na hawa jamaaa WATOE placement [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi si nikaanza kuusoma uzi kuanzia mwanzo ili nione chimbuko lake, PSRS walisemwa sana huko mwanzo.

Muasisi wa huu zui sijui kapotelea wapi, huenda placement yake ya UDSM ilishatiki na yupo busy huko jalalani[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kwakweli nimejikuta nami nauanza upya,nimejifunza kwamba si tumefanya usaili mwezi uliopita tunalia hapa na huku tangu august Kuna watu walikua wananalili shortlisted na Bado hawajaitwa🤣
 
Ohy wadau.. hv huko Dom wanakagua na transcripts za chuo,, ni lazima kwenda nazo..?
Ndio ni lazima

Nyaraka zangu huwa hizi hapa.

1. Cheti cha Leseni
2. Cheti cha Intern
3. Cheti cha Chuo
4. Hati ya Matokeo ya Chuo
6. Cheti cha Form 6
7. Cheti cha Form 4
8. Cheti cha Kuzaliwa
9. Kitambulisho cha NIDA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…