Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Zinatangazwa tena TA hawezi kufanya kazi za assistant lecturer
Unajua kama vyuo vyote hivyo watu ni walewale walioappear inaonyesha hakuna watu wenye sifa au kama wapo basi wapo sehemu mzuri zaidi, hata waki-readvertize sidhani kama watapata watu🤣🤣🤣

Acha tuone
 
Unajua kama vyuo vyote hivyo watu ni walewale walioappear inaonyesha hakuna watu wenye sifa au kama wapo basi wapo sehemu mzuri zaidi, hata waki-readvertize sidhani kama watapata watu🤣🤣🤣

Acha tuone
Hamna watu wapo sema hizi interview zinachosha mzee asikwambie mtu mimi kuna watu nimesoma nao na wana gpa nzuri tu lakini washapiga hizi interview wakaamua kuacha hata kuomba tu ikabaki Mimi ndo sijakata tamaa nazo
 
Wadau naomba kuuliza swali. Ipo hivi walioomba nafasi ya assistant lecturer Kwa vyuo vya UDOM, SUA, MUCE, DUCE na MUHAS wapo wawili (na nafasi hapo Kwa kila chuo ni 2 post) na watu hao wameappear huko kote alaf nasikia wote wameconfirm DUCE. hivyo vyuo vyote vilivyobaki vinakosa hao assistant lecturers na hizo nafasi kuwa wazi.

Je utumishi hawawezi kuchukua wale walioomba kama Tutorial Assistant ili walau wawaendeleze na baadae wawe assistant lecturers?

Au nafasi zitatangazwa upya?

Muongozo tafadhari😅
Bosi assistant lecturers katika field ipi ambao ambao unawazungumzia?
 
asa nikawa naongea kwa adabu sana kumbe ni jamaa yangu mmoja akashangaa huyu mjinga mbona leo anaongea kwa adabu hivi au anaumwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe me nilijua utumishi wamepiga simu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Me kuna siku nmepigiwa mkaka anaongea kiustaarabu kweli kumbe mteja anataka muhuru khaaa, nlijua psrs [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hizi shuhuda za kupigiwa na namba ngeni, zinafurahisha sana
 
Nilikuta missed call ya namba ngeni, nikajua labda utumishi, nikapiga mimi kama mara nne haikupokelewa, nikasema hawa Kwa vyovyote ni utumishi tu, nikapiga tena ikapokelewa, kumbe ni mtu Yuko matombo huko alikosea namba[emoji35][emoji35]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sisi Kada Yetu MUHAS haipo kwny Placement.. sijuiii tumefeli wote ORAL [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahahaa, poleni sana.

Hapo mlikandwa wote kwenye oral.

Si unaona pale mwanzoni mwa tangazo huwa wanasema kuwa hawa walifaulu usahili na kama jina lako halipo ujue hukufaulu na usisite kuomba tena nafasi zitakapotangazwa
 
😂😂😂😂😂Utumishi roho mbaya sana wale wazee
 
Wadau naomba kuuliza swali. Ipo hivi walioomba nafasi ya assistant lecturer Kwa vyuo vya UDOM, SUA, MUCE, DUCE na MUHAS wapo wawili (na nafasi hapo Kwa kila chuo ni 2 post) na watu hao wameappear huko kote alaf nasikia wote wameconfirm DUCE. hivyo vyuo vyote vilivyobaki vinakosa hao assistant lecturers na hizo nafasi kuwa wazi.

Je utumishi hawawezi kuchukua wale walioomba kama Tutorial Assistant ili walau wawaendeleze na baadae wawe assistant lecturers?

Au nafasi zitatangazwa upya?

Muongozo tafadhari😅
Ina maana Kila chuo waliomba hao wawili tuu hakuna walipozidi bro
 
Back
Top Bottom