Ahmed Saidi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 1,588
- 3,487
Unajua kama vyuo vyote hivyo watu ni walewale walioappear inaonyesha hakuna watu wenye sifa au kama wapo basi wapo sehemu mzuri zaidi, hata waki-readvertize sidhani kama watapata watu🤣🤣🤣Zinatangazwa tena TA hawezi kufanya kazi za assistant lecturer
Lakin pia si watawaendelezaZinatangazwa tena TA hawezi kufanya kazi za assistant lecturer
Hamna watu wapo sema hizi interview zinachosha mzee asikwambie mtu mimi kuna watu nimesoma nao na wana gpa nzuri tu lakini washapiga hizi interview wakaamua kuacha hata kuomba tu ikabaki Mimi ndo sijakata tamaa nazoUnajua kama vyuo vyote hivyo watu ni walewale walioappear inaonyesha hakuna watu wenye sifa au kama wapo basi wapo sehemu mzuri zaidi, hata waki-readvertize sidhani kama watapata watu🤣🤣🤣
Acha tuone
Ndio TA wataendelezwa lakini ukiona assistant lect ujue hao wanahitajila immediately , TA ndo huwa ni future planLakin pia si watawaendeleza
Bosi assistant lecturers katika field ipi ambao ambao unawazungumzia?Wadau naomba kuuliza swali. Ipo hivi walioomba nafasi ya assistant lecturer Kwa vyuo vya UDOM, SUA, MUCE, DUCE na MUHAS wapo wawili (na nafasi hapo Kwa kila chuo ni 2 post) na watu hao wameappear huko kote alaf nasikia wote wameconfirm DUCE. hivyo vyuo vyote vilivyobaki vinakosa hao assistant lecturers na hizo nafasi kuwa wazi.
Je utumishi hawawezi kuchukua wale walioomba kama Tutorial Assistant ili walau wawaendeleze na baadae wawe assistant lecturers?
Au nafasi zitatangazwa upya?
Muongozo tafadhari😅
Educational psychology, angalia mkeka wa muce, duce, SUA, UDOM na MUHAS na tulikuwa nao baadhi ya sehemu wanasema wanazunguka wenyewe huko koteBosi assistant lecturers katika field ipi ambao ambao unawazungumzia?
Sawa mkuu tuendelee kuombeanaMi nikipokea ntakuja hapa kuendelea kuwatia moyo ndugu zangu [emoji23],maana naelewa tunachopitia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]asa nikawa naongea kwa adabu sana kumbe ni jamaa yangu mmoja akashangaa huyu mjinga mbona leo anaongea kwa adabu hivi au anaumwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe me nilijua utumishi wamepiga simu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Me kuna siku nmepigiwa mkaka anaongea kiustaarabu kweli kumbe mteja anataka muhuru khaaa, nlijua psrs [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nilikuta missed call ya namba ngeni, nikajua labda utumishi, nikapiga mimi kama mara nne haikupokelewa, nikasema hawa Kwa vyovyote ni utumishi tu, nikapiga tena ikapokelewa, kumbe ni mtu Yuko matombo huko alikosea namba[emoji35][emoji35]
Hahahahahaa, poleni sana.Sisi Kada Yetu MUHAS haipo kwny Placement.. sijuiii tumefeli wote ORAL [emoji23][emoji23][emoji23]
Yani nikaanza habari kwema ?sorry naongea na nani ?😂😂😂jamaa ikabidi aseme we falaaa unaumwa au umeibiwa simu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😂😂😂😂😂Utumishi roho mbaya sana wale wazeeHahahahahaa, poleni sana.
Hapo mlikandwa wote kwenye oral.
Si unaona pale mwanzoni mwa tangazo huwa wanasema kuwa hawa walifaulu usahili na kama jina lako halipo ujue hukufaulu na usisite kuomba tena nafasi zitakapotangazwa
Hahahahaa.Yani nikaanza habari kwema ?sorry naongea na nani ?[emoji23][emoji23][emoji23]jamaa ikabidi aseme we falaaa unaumwa au umeibiwa simu?
SahihiNdio TA wataendelezwa lakini ukiona assistant lect ujue hao wanahitajila immediately , TA ndo huwa ni future plan
Hatuna jinsi twende nao hivyo hivyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utumishi roho mbaya sana wale wazee
Ameen broSawa mkuu tuendelee kuombeana
Labda kama angeomba TA huku ana masters hapa angechukuliwa,lakini yule anaeendelezwa maana yake anaandaliwa kwa ajili ya mpango wa miaka 2 mbeleLakin pia si watawaendeleza
Ina maana Kila chuo waliomba hao wawili tuu hakuna walipozidi broWadau naomba kuuliza swali. Ipo hivi walioomba nafasi ya assistant lecturer Kwa vyuo vya UDOM, SUA, MUCE, DUCE na MUHAS wapo wawili (na nafasi hapo Kwa kila chuo ni 2 post) na watu hao wameappear huko kote alaf nasikia wote wameconfirm DUCE. hivyo vyuo vyote vilivyobaki vinakosa hao assistant lecturers na hizo nafasi kuwa wazi.
Je utumishi hawawezi kuchukua wale walioomba kama Tutorial Assistant ili walau wawaendeleze na baadae wawe assistant lecturers?
Au nafasi zitatangazwa upya?
Muongozo tafadhari😅