Ebu tuma hilo tangazo tulioneKuna pdf la nafasi 300+ za kazi NSSF ila ni internal job opportunities kwa wanaojitolea na wenye temporary contract tu. Madhara ya taasisi kujitegemea sasa yanaanza rasmi kuonekana
Wanasema elewa neno hatua….Ninanukuu...Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuanzia tarehe 27 Mei 2023
mpaka 09 Juni, 2023 kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kwa hatua MBALIMBALI kuanzia tarehe 24 September, 2023..
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Nafasi 300+ Si kanakwamba hazikuwepo ila walikuwa wanajivuta tu kupeleka psrs, wamesikia wameruhusiwa kuajiri ndo wanatoa tangazo tena kwa msisitizo for internal only. Hii bongo yetu kazi sana.Kuna pdf la nafasi 300+ za kazi NSSF ila ni internal job opportunities kwa wanaojitolea na wenye temporary contract tu. Madhara ya taasisi kujitegemea sasa yanaanza rasmi kuonekana
Pata pic TRA itakuaje....Hizi
Nafasi 300+ Si kanakwamba hazikuwepo ila walikuwa wanajivuta tu kupeleka psrs, wamesikia wameruhusiwa kuajiri ndo wanatoa tangazo tena kwa msisitizo for internal only. Hii bongo yetu kazi sana.
Hongera kakaHatimaye Nimelamba Asali ndugu zangu nawashukuru team ya hapa ndani kwa namna tulivyopeana moyo na kufarijiana na mimi niwape moyo kuwa it is just a matter of time. Nimekaa mtaani tangu 2014 mpaka sasa.
Mapambano yaendelee
Na bado....[emoji23][emoji23][emoji23]Hizi
Nafasi 300+ Si kanakwamba hazikuwepo ila walikuwa wanajivuta tu kupeleka psrs, wamesikia wameruhusiwa kuajiri ndo wanatoa tangazo tena kwa msisitizo for internal only. Hii bongo yetu kazi sana.
Hii ni hatari sana naona mchezo huu utaendelea kwenye taasisi nahisi hata TRA walijisihau tu kuweka hiki kigezo kwenye tangazo lao la kzai ila nahisi wata ki apply in another style.Na bado....[emoji23][emoji23][emoji23]
Inasikitisha sana kwa kweliPata pic TRA itakuaje....
Kama wezao wanasema walijitolea
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Ilo tangazo la nssf liko wapi?Hii ni hatari sana naona mchezo huu utaendelea kwenye taasisi nahisi hata TRA walijisihau tu kuweka hiki kigezo kwenye tangazo lao la kzai ila nahisi wata ki apply in another style.
Yah ni kweli gaps zilikuwepo ila baada ya kusikia taasisi ziajiri zenyewe na Bunge kugongelea msumari swala la wanaojitolea ndio NSSF wameamua kuweka mambo hadharani, ni shida kwa kweli, maana wadau walikuwa wanaziulizia sana nafasi za kazi za hii taasisi kumbe behind the scene watu kibao takribani 300 walikuwa wanajitolea huko. na hapo bado PSSSF nao muda si mrefu wataibuka.Hizi
Nafasi 300+ Si kanakwamba hazikuwepo ila walikuwa wanajivuta tu kupeleka psrs, wamesikia wameruhusiwa kuajiri ndo wanatoa tangazo tena kwa msisitizo for internal only. Hii bongo yetu kazi sana.
Mmh kuna vitu unashindwa ata kuuliza yaan majibu unakua unayo tayar sasa kwa izo nafasi na izo condition zao ni......dah au basi tu, Ila jobless naamin tusiokuwa na connection hatukati tamaa PSRS ndo chaguo letu Ipo siku tutalamba asali kupitia waoKuna pdf la nafasi 300+ za kazi NSSF ila ni internal job opportunities kwa wanaojitolea na wenye temporary contract tu. Madhara ya taasisi kujitegemea sasa yanaanza rasmi kuonekana
Izi itakuwa ni za tamisemi na utumishi mkuu au?Chuma hicho
Tamisemi hapo wana 20600, zimezobaki ni gombania goli utumishi.Izi itakuwa ni za tamisemi na utumishi mkuu au?
mtu anaweza cheka, ila pdf yenye page 12 bado huoni jina lako ni msaala wazee.hebu mwenye picha ya masjala ya wazi atume maana wengine tunaisikiaga tu..