Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Halafu naona hii ndio itakuwa trend kuanzia sasa ,hii ya taasisi kuajiri wenyewe , na jinsi walivyo wanafiki . Institutions nyingi zenye mishahara minono na marupurupu ndio walikuwa wanajivuta kutangaza kazi muda wote huo ,wakati ambao Halmashauri na Tamisemi wanatangaza kazi kila siku ,kama sio makusudi ni nini hiyo ?
 
Aisee hatari sanaa dah
Ni hatari sana hii kitu ,na sijui ni nani alimshauri Rais akubali huo upuuzi aisee .
Rais alitakiwa atumie power na mandate yake kuboresha tu mapungufu ya psrs yanayotumiwa kwa kiasi kikubwa kama sababu ya hao wahuni kuajiri wenyewe .
Mambo ya ovyo sana mazee
 
Hii kitu aikubaliki hapa dunia na ata mbinguni kwamaana hizo nafasi za kujitolea hazitangazwi ni mwendo wa maconection tu, mtu anazama kimyakimya.
 
Ni hatari sana hii kitu ,na sijui ni nani alimshauri Rais akubali huo upuuzi aisee .
Rais alitakiwa atumie power na mandate yake kuboresha tu mapungufu ya psrs yanayotumiwa kwa kiasi kikubwa kama sababu ya hao wahuni kuajiri wenyewe .
Mambo ya ovyo sana mazee
Inatakiwa hizo nafasi za kujitolea zitangazwe watu waombe kwa mfumo mzuri watu wafanyiwe usahili kwa uwazi na ushindani atakaye faulu apate iyo nafasi ya kujitolea lakn sio kwa mfumo wa sasa kama huna mjomba NSSF,PSSF na taasisi nyingine nono kama hizo utoboi.
 
Kabisa
 
Huu ufala wa kujitolea ni rubbish , loophole na kichaka cha watu kujipenyeza kinyemela tu kwenye taasisi .
Kazi zitangazwe ,interview iitishwe watu wapate kazi kwa uwazi ,sio mambo ya kipuuzi ,kujitolea kujitolea ,kujitolea ndio nini ?
Ujinga sana ,wapige marufuku huu uhuni wa kujitolea ,nothing is for free.
Kwanza hawa ndio wanasababisha hata hizi taasisi zibweteke na kuona hamna haja ya kuajiri permanent employees na hivyo kunyima fursa graduates chances za kupata kazi .
Ujinga sana
Upuuz kwel kwel izo nafasi Tu za kujitolea bila connection mkuu hupati, sasa wameona Bora Tu waamue wenyewe wawaajiri kabisa....Hili suala ni la kuangalia sana walione waingilie Kati hapa haki haitendeki
 
Kuna pdf la nafasi 300+ za kazi NSSF ila ni internal job opportunities kwa wanaojitolea na wenye temporary contract tu. Madhara ya taasisi kujitegemea sasa yanaanza rasmi kuonekana
Hawa wametoa makucha yao kabisa bila aibu liwalo na liwe!! Nafasi 392 zimehifadhiwa kwa ajili ya wateule!! Ni wateule tu (waliokuwa "wanajitolea" na waliokuwa wamepewa kazi "za mkataba") ndio wanaruhusiwa kuomba hizo kazi. Tangazo ni kwa ajili ya waliomo ndani!! yaani "INTERNAL VACANCY ANNOUNCEMENT". Hawa wameamua kutangulia, wengine (taasisi za asali ya nyuki wadogo) watafuata kama NSSF watafanikiwa. Bila shaka wanapima kina cha maji!! Yasipotokea makelele makubwa ya kulalamika, utakuwa ndio utaratibu wa ajira hapa TZ. Sehemu ya tangazo lao hili hapa:
INTERNAL VACANCY ANNOUNCEMENT
National Social Security Fund (NSSF) as part of our commitment to encourage growth anddevelopment within the Fund, we are excited to announce 392 internal job opportunities available for all Fund’s employees with specific task contracts. Only candidates who are inspecific task contract term within the Fund should apply.

Jambo hili lazima lipingwe kwa nguvu zote!! Kanuni inasema ni lazima fursa itolewe kwa usawa kwa wote wenye sifa stahiki kugombea kila nafasi ya ajira kama wanavyofanya PSRS. Napendekeza ufunguliwe uzi maalumu wa kupinga jambo hili kwa nguvu zote!!
 
Na hauwez kujitolea kwenye taasisi kama NSSF, EWURA, TRA kama hauna Connection. Madhara ya taasisi kuajiri zenyewe ndo yanaonekana.
Wakujitolea hawana contract. Hawa wenye contract ni ndugu na jamaa za wakubwa wanapewa mikataba ya miezi 3 au 1 year renewable huku wakilipwa salary kama watumishi wakudumu wanakosa tu baadhi ya benefits. Hii ilikuwa njia ya kuwaingiza kwenye ajira za kudumu endapo kibali kitatolewa. Psrs ilikuja kuharibu madili ya watu. Sasa watu wenyewe wamerudi kwenye anga zao.
 
Back
Top Bottom