tatizo ni terms and conditionWakuu mzigo wa nafasi za kutosha za kazi NSSF
Ni internal tu hizo...wanaojitolea NSSF ndiyo Wana qualify.Wakuu mzigo wa nafasi za kutosha za kazi NSSF
Umelisoma tangazo au umeangalia tu idadi ya nafasi ?Wakuu mzigo wa nafasi za kutosha za kazi NSSF
National Social Security Fund (NSSF) as part of our commitment to encourage growth andWakuu mzigo wa nafasi za kutosha za kazi NSSF
Kwan humu unajua kila mtu anachofanya?? Una uhakika hao internal wa NSSF hawapo humu wanaojitolea huko?Umelisoma tangazo au umeangalia tu idadi ya nafasi ?
Na hauwez kujitolea kwenye taasisi kama NSSF, EWURA, TRA kama hauna Connection. Madhara ya taasisi kuajiri zenyewe ndo yanaonekana.Inamaana NSSF kuna watu zaidi ya 300 wanaojitolea pale?
Hujajibu swali la msingi uliloulizwa, na mara nyingi ukiona mtu anajieleza sana na kutoka kwenye main content basi ujue kuna walakini !Kwan humu unajua kila mtu anachofanya?? Una uhakika hao internal wa NSSF hawapo humu wanaojitolea huko?
📌📌📌Na hauwez kujitolea kwenye taasisi kama NSSF, EWURA, TRA kama hauna Connection. Madhara ya taasisi kuajiri zenyewe ndo yanaonekana.
hapana mkuu TAESA inapeleka vijana wengi tu TRA-INTERN.Na hauwez kujitolea kwenye taasisi kama NSSF, EWURA, TRA kama hauna Connection. Madhara ya taasisi kuajiri zenyewe ndo yanaonekana.
hawa jamaa ndio maana walikuwa hawatangazi kazi, walikuwa wanavizia kamba ilegezwe ndo wafanye yao, hii nchi ngumu sana kwa pigo hizi mungu atuhurumie majobles.Na hauwez kujitolea kwenye taasisi kama NSSF, EWURA, TRA kama hauna Connection. Madhara ya taasisi kuajiri zenyewe ndo yanaonekana.
Okay!Hujajibu swali la msingi uliloulizwa, na mara nyingi ukiona mtu anajieleza sana na kutoka kwenye main content basi ujue kuna walakini !
Wanaopelekwa na TAESA mara nyingi intern zao zinakua na ukomo, nimeongea kitu nilichofanyia utafitihapana mkuu TAESA inapeleka vijana wengi tu TRA-INTERN.
sema tumia neno most of them wanaingia kwa michongo kwenye hizi taasis. ila wanaopenya kwa juhudi zao wapo mkuu na ni wengi pia
Naunga mkono hoja asilimia mia!Huu ufala wa kujitolea ni rubbish , loophole na kichaka cha watu kujipenyeza kinyemela tu kwenye taasisi .
Kazi zitangazwe ,interview iitishwe watu wapate kazi kwa uwazi ,sio mambo ya kipuuzi ,kujitolea kujitolea ,kujitolea ndio nini ?
Ujinga sana ,wapige marufuku huu uhuni wa kujitolea ,nothing is for free.
Kwanza hawa ndio wanasababisha hata hizi taasisi zibweteke na kuona hamna haja ya kuajiri permanent employees na hivyo kunyima fursa graduates chances za kupata kazi .
Ujinga sana
Kujitolea ndio, mdudu gani huu ni uhuni kama uhuni mwingine tu.Huu ufala wa kujitolea ni rubbish , loophole na kichaka cha watu kujipenyeza kinyemela tu kwenye taasisi .
Kazi zitangazwe ,interview iitishwe watu wapate kazi kwa uwazi ,sio mambo ya kipuuzi ,kujitolea kujitolea ,kujitolea ndio nini ?
Ujinga sana ,wapige marufuku huu uhuni wa kujitolea ,nothing is for free.
Kwanza hawa ndio wanasababisha hata hizi taasisi zibweteke na kuona hamna haja ya kuajiri permanent employees na hivyo kunyima fursa graduates chances za kupata kazi .
Ujinga sana
Ni sahihi sio ndio maana hao NSSF umeona wamekaa miaka mingi bila kuajiri kumbe wana vijana takribani 400 wanaojitolea huko, inasikitisha kwa kweli.Huu ufala wa kujitolea ni rubbish , loophole na kichaka cha watu kujipenyeza kinyemela tu kwenye taasisi .
Kazi zitangazwe ,interview iitishwe watu wapate kazi kwa uwazi ,sio mambo ya kipuuzi ,kujitolea kujitolea ,kujitolea ndio nini ?
Ujinga sana ,wapige marufuku huu uhuni wa kujitolea ,nothing is for free.
Kwanza hawa ndio wanasababisha hata hizi taasisi zibweteke na kuona hamna haja ya kuajiri permanent employees na hivyo kunyima fursa graduates chances za kupata kazi .
Ujinga sana
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3],watuache mkuu ,stress tulizo nazo zinatosha ,Utumishi wanatupa stress Sana jobless zakutosha ,yaani sio poa kabisa .[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jobless hatuelewi tutakuvuruga.
Don vill njoo unichapia mtu huku anatuenjoy vijana.