Kijiji cha Wajinga
Member
- Dec 7, 2019
- 90
- 277
Kila mtu ana mawazo yake juu ya jambo fulani. Mawazo yako tunayaheshimu.Watu walioingia huko kwa jinsi yake ni wachache sana dhidi ya wengi walioingizwa huko kwa connection. Na nyie wachache hutumiwa kuwafumba watu macho!! Lakini hata hivyo, hoja ya msingi ni kutaka kuwatenga waombaji wengine walio nje ya NSSF kwa sasa!! Hao ma-intern wasiepushiwe ushindani kwa kuwatenga na kuwazuia waqombaji wengine!!
Wameamua kutuachia halmashauri tupambane nazo, vinono wale wao na familia zaoHalafu naona hii ndio itakuwa trend kuanzia sasa ,hii ya taasisi kuajiri wenyewe , na jinsi walivyo wanafiki . Institutions nyingi zenye mishahara minono na marupurupu ndio walikuwa wanajivuta kutangaza kazi muda wote huo ,wakati ambao Halmashauri na Tamisemi wanatangaza kazi kila siku ,kama sio makusudi ni nini hiyo ?
Hili suala lina walengwa specifically,, hawa wa TAESA wa 1 year contract niwambie tu wasijipe matumaini san kma wanadhani hili lina wahusu.. wakati wew contarct yako iliisha na ikawa terminated kuna wenzako hao hao uliokuwa nao wameendelea ku renew contact year after year bila mgongo wa TAESA tena + walioingia bila ata mgongo wa TAESA. Hawa ndo wanatafutwa. Naongea kitu nilicho kishuhudia (case sturdy ni tra musoma)Mimi kupata INTERN nilipitiaTAESA . Nilifanya Interview nikapangiwa INTERN pale TRA, nikakomaa kwa miaka miwili. Mkataba ulipoisha tukaondolewa wakapatiwa vijana wengine nafasi ya INTERN. Ilikuwa mwaka 2020 hadi 2022. Ni utaratibu mzuri sana ambao unawapa vijana kuongeza CV yao.
watu waoga sana hata kwenye haki zao wanaogopa piaa.hii ni point wakuuu
umenishtua nikajua tayar kashaachia..IT kaja na formula mpya kila baada ya siku 2 pdf, ngoja tuone leo aysee. IT fanya yako.
Hawa TANAPA hawajapewa rungukweli la kuajiri wwnyewe mkuu?Hii nchi ngumu sana mamaee!!...[emoji27]
TANAPA mwezi wa nne huu toka tu apply..!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Noma sana mkuu ,aisee hii issue inabidi tuipambanie sana , huu uhuni utokomezwe , hata tusipofaidika sisi ,watafaidika wadogo zetu au watoto wetu.watu waoga sana hata kwenye haki zao wanaogopa piaa.
kazi zao kusifia tu kwenye acount za utumishi fb twiter na......
tutoe mawazo wataalamu yasipotufaa sisi yatawafaa wanaokuja.
Usikute nao ndio hivyo , ukizingatia nyuma nao walikuwa na skendo sana za undugunization na rushwa ,hii ndio culture ya kule siku nyingi ,Hawa TANAPA hawajapewa rungukweli la kuajiri wwnyewe mkuu?
Majitu yamejikausha kwenye hizo taasisi as if hayahitaji nguvu kazi mpya ,kumbe yanapiga timing kupenyeza ndugu na vimada wao .umenishtua nikajua tayar kashaachia..
Usikute zile walizotangaza juzi juzi ndo mara ya mwisho ajira zao kupitia psrs😂Hawa TANAPA hawajapewa rungukweli la kuajiri wwnyewe mkuu?
I think hawajapewa bado maana last time walitangaza kazi kupitia psrs.Hawa TANAPA hawajapewa rungukweli la kuajiri wwnyewe mkuu?
Acha tu kaka..Unakuta top management ya taasis yote imepata cheo kwa nguvu ya connection, unafikiri ndo watatenda haki kwenye mchakato wa ajira?
Hawa NSSF wahuni sana tangu nianze kufuatia ajira psrs, sijawahi kuona wanatangaza kazi yeyote wala ata kuchukua database, nikawa najiuliza inamaana hawa jamaa wamejitosheleza kwa upande wa watumishi, kumbu magumashi tu.Majitu yamejikausha kwenye hizo taasisi as if hayahitaji nguvu kazi mpya ,kumbe yanapiga timing kupenyeza ndugu na vimada wao .