Blueprint 9
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 798
- 1,381
Na hutokuja kuona tangazo lao likiwekwa PSRSHawa NSSF wahuni sana tangu nianze kufuatia ajira psrs, sijawahi kuona wanatangaza kazi yeyote wala ata kuchukua database, nikawa najiuliza inamaana hawa jamaa wamejitosheleza kwa upande wa watumishi, kumbu magumashi tu.
Angalia email yakoWadau
Naomba kujua jinsi ya kuangaliwa namba ya usaili kwenye accouny TRA interview
Mkuu kuna madudu makubwa sana yanayotendeka. hapo NSSF naona kutakuwa kumejazana ukoo wa Mtu hapoHawa NSSF wahuni sana tangu nianze kufuatia ajira psrs, sijawahi kuona wanatangaza kazi yeyote wala ata kuchukua database, nikawa najiuliza inamaana hawa jamaa wamejitosheleza kwa upande wa watumishi, kumbu magumashi tu.
Point mkuu,Noma sana mkuu ,aisee hii issue inabidi tuipambanie sana , huu uhuni utokomezwe , hata tusipofaidika sisi ,watafaidika wadogo zetu au watoto wetu.
Inatengenezwa future mbaya sana kwa madogo
Sioni kwenye emailAngalia email yako
Nami nilishajiwazia hili, hivi Kuna haja gani kututangazia umma, wao wangetangaziana internal hukohuko,Sema sijuh huwa kiprotocal ipoje, sasa ajira inataka watu wa ndani tuh, sasa kuna faida gani kuweka public na sisi watu wa nje kuona wakati majority hatuhusiki??
Ingekuwa ina tangazwa ndani kwa ndani wakapambana nazo walengwa.
Nakuelewa mfwende sawadogo nishajaribu na mimi huko, ila ni Mungu tu ndo anajua.ukitaka upate uchungu wa ajira za serikali katest mtiti wa ajira za vyombo vya ulinzi then njoo huku kwenye hizi taasis kuajiri zenyewe ,jobless tutafubaa sana GOD asipo ingilia kati kwa hawa watawala wetu
sio poa
Wanatuma kwenye email uliyotumua katika portal yao kujisajiliaWadau
Naomba kujua jinsi ya kuangaliwa namba ya usaili kwenye accouny TRA interview
Mkoa gani?Hiv ukumbi wa dolphin uko wap?
Kwa hapa dar es Salaam, walioitwa interview ya tax management officer 2, ukumbi wa dolphine mnma, nauliza upo sehem ganMkoa gani?
MNMA inamaanisha Mwalimu Nyerere Memorial Academy kipo Kigamboni basi ukumbi upo ndani ya chuoKwa hapa dar es Salaam, walioitwa interview ya tax management officer 2, ukumbi ni dolphine mnma, nauliza upo sehem gan
[emoji3516]Nyie mpo bado sana,mpk TANAPA aite watu interview, placement zitoke ndo wote TFS,NCAA,TAWA na TANAPA muende mlele kwa pamoja,i think Kati ya January au March 2024
[emoji3516]Wana mnaojadili ishu za mishahara ingekua vyema muanzishe uzi wenu special kwa ajili hiyo...huku mnatuvuruga tu akili wazee...watu tuko kitaa tumepauka hatujui hatma yetu na psrs naona kama hamtutendei haki
MNMA inamaanisha Mwalimu Nyerere Memorial Academy kipo Kigamboni basi ukumbi upo ndani ya chuo
Kuna mdau alijibu huko nyuma,ni njia ya bagamoyo unashuka kwa jumbe ulizia ukumbi wa APC au hotelna APC, Mbweni ndo unapatikana wapi tafadhali mwenye kujua