Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Samahanii ndugu zangu mm nimeitwa usailii TRA kada ya civil engineering technician Sasa nipo najiulizaa je?maswali watatoa yanayohusiana na fanii tuu au wataleta hata yanayohusiana na Mambo ya Kodi,na vpy civil technician ambao wapo Tra wanafanya majukumu ganii?? Mwenye kufahamu anisaidiee wakuu
 
Nakushauri rejea tangazo la kazi kisha soma vizuri majukumu ya kazi husika nadhani utapata pa kuanzia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…