Dah acha tu mkuu hali tete kitaa kimesimama wima hatari sanaa...psrs nao kimya kirefuu arookitaa kikali balaa,ngoja tuone maana leo 97% mkeka unaweza dondoka
Sio poa kabisaDah acha tu mkuu hali tete kitaa kimesimama wima hatari sanaa...psrs nao kimya kirefuu aroo
kimya kirefu alafu unakuta jina halipo.ni disappointment kubwa.Dah acha tu mkuu hali tete kitaa kimesimama wima hatari sanaa...psrs nao kimya kirefuu aroo
Sio poa mwamba!!kimya kirefu alafu unakuta jina halipo.ni disappointment kubwa.
Leo muhimu lazma IT amwange asali jobles tuogelee, kwani vp stelling IT si mtu wetu.Dah acha tu mkuu hali tete kitaa kimesimama wima hatari sanaa...psrs nao kimya kirefuu aroo
Aisee inaleta msongo wa mawazookinomakimya kirefu alafu unakuta jina halipo.ni disappointment kubwa.
😃😃😃😃😃 kabisaa ni mtu wetu wa nguvuuuuu.Leo muhimu lazma IT amwange asali jobles tuogelee, kwani vp stelling IT si mtu wetu.
Wee acha... unawaza mpk unakosa majibu mtaani kwenye mambo hayaendi...unahamia plan B unaona neema PSRSkimya kirefu alafu unakuta jina halipo.ni disappointment kubwa.
Yan nilikua na matumain sana psrs....nilivoona wanaanza kuruhusu taasis ziajiri zenyewe moyo umekua wa baradi....hii nchi ngumu hiiWee acha... unawaza mpk unakosa majibu mtaani kwenye mambo hayaendi...unahamia plan B unaona neema PSRS
alafu unasikia watu wanapewa wanajitolea...
Tunakupa possible then baada ya miaka 2 una ghorofa lako Goba na Harrier new model nyeusi tinted unatupita watembea kwa miguu tuliokuwezesha hata lift hutoi tusije kuchafua seat za gari yakoSamahanii ndugu zangu mm nimeitwa usailii TRA kada ya civil engineering technician Sasa nipo najiulizaa je?maswali watatoa yanayohusiana na fanii tuu au wataleta hata yanayohusiana na Mambo ya Kodi,na vpy civil technician ambao wapo Tra wanafanya majukumu ganii?? Mwenye kufahamu anisaidiee wakuu
HHHHHH htr sanaTunakupa possible then baada ya miaka 2 una ghorofa lako Goba na Harrier new model nyeusi tinted unatupita watembea kwa miguu tuliokuwezesha hata lift hutoi tusije kuchafua seat za gari yak
Hii ktu ya ajira kurudishwa kwenye taasisi husika imevurga mambo naona hata placement kama vile zimesimama call for interview nayo imekua kipengele dah kila kiongz akija anakuja na yake ndio shida inapoanziaIT kasusa nini ?
Shida sana , na Halmashauri nazo zitaanza kusema ziajiri zenyewe , maana na huko kuna lundo la interns pia , kama mashirika yanavyoleta visingizio kama hivyo .Hii ktu ya ajira kurudishwa kwenye taasisi husika imevurga mambo naona hata placement kama vile zimesimama call for interview nayo imekua kipengele dah kila kiongz akija anakuja na yake ndio shida inapoanzia
Inaumiza sana hii mkuuWee acha... unawaza mpk unakosa majibu mtaani kwenye mambo hayaendi...unahamia plan B unaona neema PSRS
alafu unasikia watu wanapewa wanajitolea...