Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Samahanii ndugu zangu mm nimeitwa usailii TRA kada ya civil engineering technician Sasa nipo najiulizaa je?maswali watatoa yanayohusiana na fanii tuu au wataleta hata yanayohusiana na Mambo ya Kodi,na vpy civil technician ambao wapo Tra wanafanya majukumu ganii?? Mwenye kufahamu anisaidiee wakuu
Tunakupa possible then baada ya miaka 2 una ghorofa lako Goba na Harrier new model nyeusi tinted unatupita watembea kwa miguu tuliokuwezesha hata lift hutoi tusije kuchafua seat za gari yako
 
Hii ktu ya ajira kurudishwa kwenye taasisi husika imevurga mambo naona hata placement kama vile zimesimama call for interview nayo imekua kipengele dah kila kiongz akija anakuja na yake ndio shida inapoanzia
Shida sana , na Halmashauri nazo zitaanza kusema ziajiri zenyewe , maana na huko kuna lundo la interns pia , kama mashirika yanavyoleta visingizio kama hivyo .
Dah ! ,Ngoja tuone
 
Back
Top Bottom