mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,674
piga intv ?? sijaelewa mkuu fafanua kwa manufaa ya woteMungu akusaidie mkuu.Ni kujiamin na kujiandaa me nilitwa intv na International company ile hofu ya kwemda kupiga kimalikia nilisema siendi.ila kuna saut ndan inasema nenda aisee Mungu mkubwa.
Piga intv saa 2pm saa 5pm simu ya HR ananiambia usirud chuga kesho uje usain mkataba.
Nadhani ana maanisha alifanya interview saa 8 mchana saa 11 jioni akaitwa na afisa utumishi kwa ajili ya kusaini mkatabapiga intv ?? sijaelewa mkuu fafanua kwa manufaa ya wote
Acha kabisa yaani kila mtu TIHARA HEI, sijui ni makimbilio ya marupurupu?Kila mtu anataka TIHARA HEI kuna nini huko TIHARAHEI
Hii imekaaje wataalamu @ Mbinguni kwetu na wajuzi wengine wa mambo.Eti wataalamu nataka kufahamu hatima ya mtu aliyeomba nafasi hizi za kazi za TRA wakati tayari ameshaajiriwa serikalini toka tarehe 15.05.2023 na kuanza kupokea mshahara mwezi June 2023, lakini wakati anaomba hakupitisha barua ya maombi ya kazi kwa mwajiri wake , kwenye usaili ameitwa na amefanya leo, sasa kama atafanikiwa kufika oral na kwa mfano akaitwa kazini je ,atakubaliwa atakapoenda kuripoti kwa mwajiri wake mpya TRA?
Anasemaje hyo jamaaView attachment 2761450
Wakubwa wameona waend front line kuweka kazi na majukumu ya taasisi kwa uwazi zaidi ili taasisi zinazotaka kujichomoa kwny mfumo wa pspr zijipange.
Wapo live clouds tv now.
utatujuza kinachojili mkuu?View attachment 2761450
Wakubwa wameona waend front line kuweka kazi na majukumu ya taasisi kwa uwazi zaidi ili taasisi zinazotaka kujichomoa kwny mfumo wa pspr zijipange.
Wapo live clouds tv now.
Kwani mwanzoni hizo Status zako zilikuwa zinasomaje ?Jaman status yangu imebadilika both App na web,jina la mwajiri toka kingereza kwenda kiswahili,vipi nitafute nauli ya kwenda masjala ya wazi wadau?au[emoji16]
2021-2023 2023 August September
[emoji116] [emoji116]
Jamaa wa PSRS wamekausha kichizi hapo kwenye Placement mzee , nahisi kuna fukuto linaendelea humo ndani psrs .utatujuza kinachojili mkuu?
Umefanya oral lini?Jaman status yangu imebadilika both App na web,jina la mwajiri toka kingereza kwenda kiswahili,vipi nitafute nauli ya kwenda masjala ya wazi wadau?au😁
2021-2023 2023 August September
👇 👇
Inaonekana hauna kazi psrs kuna muda wanakaaga mwezi mzima no placement ,no interviewJamaa wa PSRS wamekausha kichizi hapo kwenye Placement mzee , nahisi kuna fukuto linaendelea humo ndani psrs .
Dah ! ,Watakuwa wametukatili kichizi yaani wakikubali wahuni wa taasisi na mashirika na vigogo wahujumu mfumo , ukiangalia wengine interviews tulizofanya hata hizo Placement hazijakamilika bado .
Ni kisanga ,Sir God Tu mwenyewe asimame aisee ,hii vita ni kali sana
🙏View attachment 2761450
Wakubwa wameona waend front line kuweka kazi na majukumu ya taasisi kwa uwazi zaidi ili taasisi zinazotaka kujichomoa kwny mfumo wa pspr zijipange.
Wapo live clouds tv now.
tatizo umri unasogea sna mzee, familia zinatihitaji. kwenye huu ujobless ni full hofu na wasiwasi wa njaa. tukiona hiki kimya inashangaza sanaJamaa wa PSRS wamekausha kichizi hapo kwenye Placement mzee , nahisi kuna fukuto linaendelea humo ndani psrs .
Dah ! ,Watakuwa wametukatili kichizi yaani wakikubali wahuni wa taasisi na mashirika na vigogo wahujumu mfumo , ukiangalia wengine interviews tulizofanya hata hizo Placement hazijakamilika bado .
Ni kisanga ,Sir God Tu mwenyewe asimame aisee ,hii vita ni kali sana
Kabisa mzeetatizo umri unasogea sna mzee, familia zinatihitaji. kwenye huu ujobless ni full hofu na wasiwasi wa njaa. tukiona hiki kimya inashangaza sana
Nipangie bajeti mkuu. Mimi mgeni kabisa DodomaLaki 1 inatosha sana inategemea na mipangilio yakoo utakavyobana.
Sfri usku mkuu kalale stand siku ya 1 bana matumziNipangie bajeti mkuu. Mimi mgeni kabisa Dodoma
kama kilichosemwa ndichoo basi psrs nawapa 100. 1%.Taasis wasilete sababu tu waache PSRS waendeleee na mchakato kama kawaida
Watoto wa masikini tuna Imani kubwa na utumish.View attachment 2761547View attachment 2761557
Stendi pale usalama upo wa kutosha?Sfri usku mkuu kalale stand siku ya 1 bana matumzi