Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu hujaelewa nn?...sijaelewa kbsa maana ya hii thread au bado muda wangu?
hajaelewa maana ya huu Uzi[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]mkuu hujaelewa nn?
Mkuu haitoshi pambana uongezee..Wadau laki 1 inatosha nauli kulala kula siku 3, natokea DSM naenda Dodoma kwenye usaili ndio mara ya kwanza kukanyaga Dodoma.
Walau ngapi?Mkuu haitoshi pambana uongezee..
mkuu ongezea hata 30 ya emergencyWadau laki 1 inatosha nauli kulala kula siku 3, natokea DSM naenda Dodoma kwenye usaili ndio mara ya kwanza kukanyaga Dodoma.
Kwa maan nenda Rudi weka elf50Wadau laki 1 inatosha nauli kulala kula siku 3, natokea DSM naenda Dodoma kwenye usaili ndio mara ya kwanza kukanyaga Dodoma.
Guest za 10K ziko maeneo gani?Kwa maan nenda Rudi weka elf50
Kulala cku tatu Kwa elf 45 au uktafta ndan ndan elfu 30
Kula ukinyima buku tatu Kwa siku JUMLA elf9
Nauli ya kutoka ulipo kwenda sehem ya usail elf 5
Daaa nmejarbu kubana budget ukienda uishi kigumu Zaid unaweza kutoboa
Lkn kusiwe na emergency ya chochote.
Shukrani sana. Kipindi hiki wanafunzi wako likizo, pale chuoni vyumba hawakodishi kwa bei nzuri?kwenye hizi ishu za ajira aliziweza kikwete tu, japo naye maza anajitahidi kwa kiwango chake.
daah bado kimya , na kitaa jua kali balaa
Nauli weka elf50Walau ngapi?
Nauli weka elf50
Kulala elf 45
Kula elf 15
Total laki Moja na elf10
Ongeza Hela ya emergency kama elfu30 au elf40
JUMLA walau uwe na 150k ndo utaenda bla stress
Siku 3 kivipi si mtihani ni siku moja tu ?Kwa maan nenda Rudi weka elf50
Kulala cku tatu Kwa elf 45 au uktafta ndan ndan elfu 30
Kula ukinyima buku tatu Kwa siku JUMLA elf9
Nauli ya kutoka ulipo kwenda sehem ya usail elf 5
Daaa nmejarbu kubana budget ukienda uishi kigumu Zaid unaweza kutoboa
Lkn kusiwe na emergency ya chochote.
Written siku ya kwanza...then ukifaulu unasbr cku ya oral.. almost siku tatuSiku 3 kivipi si mtihani ni siku moja tu ?
Na hawa walioitwa tra ni ivyoivyo ?Written siku ya kwanza...then ukifaulu unasbr cku ya oral.. almost siku tatu
TRA cjui mkuuNa hawa walioitwa tra ni ivyoivyo ?
Hospitali, zahanati , vituo vya afya vyote nadhani mnakuwa chini ya Halmashauri ( LGA) sababu kila halmashauri ina idara ya afya inayosimamia maeneo tajwa hapo juuNaomba kuulza hivi hizi interview za MDAs and LGAs wanaofanya upande wa afya mfano Manesi Huwa wanapangiwa kufanya kazi sehem zipi haswa?
laki moja ina maana huli chakula kwa kipindi chote cha stay yako na muda wa kusafiri unachimba dawa tu bila kula? jaribu kuongeza angalau ifike 180k . Accomodation 45k per 3 nights, transport 50,000 (go, return), chakula 40,000 inayobaki tahadhari na usafiri wa ndani ya mji.Wadau laki 1 inatosha nauli kulala kula siku 3, natokea DSM naenda Dodoma kwenye usaili ndio mara ya kwanza kukanyaga Dodoma.