Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wadau laki 1 inatosha nauli kulala kula siku 3, natokea DSM naenda Dodoma kwenye usaili ndio mara ya kwanza kukanyaga Dodoma.
mkuu ongezea hata 30 ya emergency
coz nauli 25 +25 ya kurudi, affordable lodge 15k per day ×3 maeneo ya dodoma sec kule, msosi mlo mmoja 3k bado nauli ya daladala ama boda kukuwaisha venue.

cc wengine tukitingwa tulikua tunalala kwa madogo udom japo maji pale chuoni yalikua ya shida, afadhali ukachili lodge tu
 
Wadau laki 1 inatosha nauli kulala kula siku 3, natokea DSM naenda Dodoma kwenye usaili ndio mara ya kwanza kukanyaga Dodoma.
Kwa maan nenda Rudi weka elf50

Kulala cku tatu Kwa elf 45 au uktafta ndan ndan elfu 30
Kula ukinyima buku tatu Kwa siku JUMLA elf9

Nauli ya kutoka ulipo kwenda sehem ya usail elf 5

Daaa nmejarbu kubana budget ukienda uishi kigumu Zaid unaweza kutoboa

Lkn kusiwe na emergency ya chochote.
 
Guest za 10K ziko maeneo gani?
Ikiwezekana Nile picha kamili kutoka stendi kuu hadi UDOM-Cive
 
Nauli weka elf50
Kulala elf 45
Kula elf 15
Total laki Moja na elf10

Ongeza Hela ya emergency kama elfu30 au elf40

JUMLA walau uwe na 150k ndo utaenda bla stress
Kwa maan nenda Rudi weka elf50

Kulala cku tatu Kwa elf 45 au uktafta ndan ndan elfu 30
Kula ukinyima buku tatu Kwa siku JUMLA elf9

Nauli ya kutoka ulipo kwenda sehem ya usail elf 5

Daaa nmejarbu kubana budget ukienda uishi kigumu Zaid unaweza kutoboa

Lkn kusiwe na emergency ya chochote.
Siku 3 kivipi si mtihani ni siku moja tu ?
 
Wadau laki 1 inatosha nauli kulala kula siku 3, natokea DSM naenda Dodoma kwenye usaili ndio mara ya kwanza kukanyaga Dodoma.
laki moja ina maana huli chakula kwa kipindi chote cha stay yako na muda wa kusafiri unachimba dawa tu bila kula? jaribu kuongeza angalau ifike 180k . Accomodation 45k per 3 nights, transport 50,000 (go, return), chakula 40,000 inayobaki tahadhari na usafiri wa ndani ya mji.
 
Back
Top Bottom