Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wakati wengine wanapelekwa halmashauri naona wengine wamepelekwa TANROAD,RUWASA,TANAPA,NGORONGORO NA TPDC kweli kuna watu wana bahati asee
Alafu unakuta walikosa direct halmashauri wamepelekwa indirect Kwenye taasisi. kama vigezo vyao wenye maksi za juu ndio wanapata kwanza placement basi ni wazi wale waliopasua sana wamejaa halmashauri na wale average wanajaa kwenye mataasisi daaah.
 
Vip wale wanaoenda fanya interview Kisha hajapangiwa alipoomba wakapata placement na wanapangiwa kutoka data base unataka sema kuna wawakilishi wa taasisi kwenye jopo la oral pia

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Kikubwa alisailiwa na jopo(watumishi wa Umma) lenye wataalam wa fani yake hivyo anaweza kupangiwa popote ndani ya utumishi wa umma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…