Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shuhuda ni muhimu sana humu.Tunaopongeza tuna haki yetu ya kutoa pongezi.
Msitufanyie hivyo(kutukaushia) leteni shuhuda tutimize wajibu wetu
IT mtu wetu sanaIT shusha pdf lingine leo
Hongereni sana CDO's!! Kumbukeni kutoa ushuhuda hapa na kumshukuru Mungu ili kuwatia moyo na nguvu vijana wenzenu wanaosubiri kuramba asali kupitia pdf za PSRS........Zamu ya CDOs sasa
Alafu unakuta walikosa direct halmashauri wamepelekwa indirect Kwenye taasisi. kama vigezo vyao wenye maksi za juu ndio wanapata kwanza placement basi ni wazi wale waliopasua sana wamejaa halmashauri na wale average wanajaa kwenye mataasisi daaah.Wakati wengine wanapelekwa halmashauri naona wengine wamepelekwa TANROAD,RUWASA,TANAPA,NGORONGORO NA TPDC kweli kuna watu wana bahati asee
El Marabiosh, mwanangu naona binamu zetu civil engineers wamesombwa ka kijiji kwenye hii pdf mzee !
Na wengine wengi wale avarage hupelekwa hata wizaraniAlafu unakuta walikosa direct halmashauri wamepelekwa indirect Kwenye taasisi. kama vigezo vyao wenye maksi za juu ndio wanapata kwanza placement basi ni wazi wale waliopasua sana wamejaa halmashauri na wale average wanajaa kwenye mataasisi daaah.
Kikubwa alisailiwa na jopo(watumishi wa Umma) lenye wataalam wa fani yake hivyo anaweza kupangiwa popote ndani ya utumishi wa umma.Vip wale wanaoenda fanya interview Kisha hajapangiwa alipoomba wakapata placement na wanapangiwa kutoka data base unataka sema kuna wawakilishi wa taasisi kwenye jopo la oral pia
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Hongera sana kwao mkuuKuna wanangu kadhaa M/Mungu amewaona after all struggles leo wamepata chaka la uhakika.
Kwaiyo mnataka walipo database wasipangiwe?...Kila kitu lawama.Alafu unakuta walikosa direct halmashauri wamepelekwa indirect Kwenye taasisi. kama vigezo vyao wenye maksi za juu ndio wanapata kwanza placement basi ni wazi wale waliopasua sana wamejaa halmashauri na wale average wanajaa kwenye mataasisi daaah.
Hongera sana kwao mkuu
ShukuraniHizo na kazi za mikataba zote hazina database
o ya riziki mzee kila mtu ana fungu lake ndo utaratibu wa muumbaWakati wengine wanapelekwa halmashauri naona wengine wamepelekwa TANROAD,RUWASA,TANAPA,NGORONGORO NA TPDC kweli kuna watu wana bahati asee
Wanadamu hua WATURIDHIKIKwaiyo mnataka walipo database wasipangiwe?...Kila kitu lawama.