Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Thanks sana ndugu

Niko kitaa since 2016 nafanya ujasiriamali, mwaka 2022 nilipitia kipindi kigumu sana kiuchumi kwa mara ya kwanza nikafungua account utumishi kufuatilia nafasi za kazi.

Mwezi wa 5, 2022 utumishi zikatoka nafasi nikaomba.

Mwezi 2, 2023 nilikuwa safarini kwenda Kahama kucheki fursa, nikaona utumishi selected for interview, Dah nisome kipi niache kipi. nikakomaa na kusoma National act na Policy.

Nikatua Dodoma kama leo usiku kesho yake interview. Fika Udom piga written 80% ya maswali yalitoka kwenye National act.

Oral interview nilimwachia Mungu niliona sina cha kusoma. Ila muujiza uliotokea Asubuhi tulivyofika Migiro kuna wadada walikuwa wamesimama pembeni walikuwa wanaulizana maswali na majibu.

Kuna dada mmoja alikuwa kinara wa kuwafafanulia wenzake

Nikasogea karibu yao nikawa nawasikiliza aisee kwenye hiyo discussion yao yalitoka maswali 3 kwenye oral, wale wadada Mungu awabariki sana. Nadhani wote wamepata kazi pia.

Baada ya oral sikutaka kabisa kuangalia web wala App status ipoje nikawa nasuburia pdf tuu. Mwezi wa 6 hapa kulikuwa na mjadala mkali wa status.

Nikaamua kuangalia status zangu kote web na app kulikuwa kunasoma selected for oral.

Mungu ni mwema nimepenya.
Hongera sana mkuu kwa upambanaji, ukawe mtumishi mwema, utuwakilishe vjina kwa nafasi uliyoipata
 
Hongera sana mwamba!!

Degree siku hizi ni changamoto kila sehem wanapigwa chini sjui tunaelekea wap[emoji17][emoji24]
man kila niki scrow pdf nakutana na neno assistant vs assistant.

lakini nachomuomba MUNGU aliye juu. afanye wepesi nipate ajira utawala huu wa mama samia.

watakuja pimbi wengine , vijana tutaishia kuishi kwa ndugu,mashemeji nk full manyanyaso kama zamani.
 
Back
Top Bottom