Wataitwa tu mkuuVijana wa TRA wako wanapambana mtaani, hawajui oral wataitwa lini
leo matokeo yatatokaVijana wa TRA wako wanapambana mtaani, hawajui oral wataitwa lini
Mzee naona umekomaa na matokeo kutoka leo kila uzi, uhakika wa 100% upo kweli mkuu ?
Hongera Afsaa, for how long umekaa kitaa, tangu placement zitoke ?From Database nimeruka na kitu cha Halmashauri. Mungu ni mwema.
Hongera sana mkuu, ukawe mtumishi mwema na mwadilifu.From Database nimeruka na kitu cha Halmashauri. Mungu ni mwema.
Hongera chief.From Database nimeruka na kitu cha Halmashauri. Mungu ni mwema.
Hongera sana mkuu kwa upambanaji, ukawe mtumishi mwema, utuwakilishe vjina kwa nafasi uliyoipataThanks sana ndugu
Niko kitaa since 2016 nafanya ujasiriamali, mwaka 2022 nilipitia kipindi kigumu sana kiuchumi kwa mara ya kwanza nikafungua account utumishi kufuatilia nafasi za kazi.
Mwezi wa 5, 2022 utumishi zikatoka nafasi nikaomba.
Mwezi 2, 2023 nilikuwa safarini kwenda Kahama kucheki fursa, nikaona utumishi selected for interview, Dah nisome kipi niache kipi. nikakomaa na kusoma National act na Policy.
Nikatua Dodoma kama leo usiku kesho yake interview. Fika Udom piga written 80% ya maswali yalitoka kwenye National act.
Oral interview nilimwachia Mungu niliona sina cha kusoma. Ila muujiza uliotokea Asubuhi tulivyofika Migiro kuna wadada walikuwa wamesimama pembeni walikuwa wanaulizana maswali na majibu.
Kuna dada mmoja alikuwa kinara wa kuwafafanulia wenzake
Nikasogea karibu yao nikawa nawasikiliza aisee kwenye hiyo discussion yao yalitoka maswali 3 kwenye oral, wale wadada Mungu awabariki sana. Nadhani wote wamepata kazi pia.
Baada ya oral sikutaka kabisa kuangalia web wala App status ipoje nikawa nasuburia pdf tuu. Mwezi wa 6 hapa kulikuwa na mjadala mkali wa status.
Nikaamua kuangalia status zangu kote web na app kulikuwa kunasoma selected for oral.
Mungu ni mwema nimepenya.
Asante mkuu. Ngoja nichek app, nilikuwa sijawahi itumiaHiyo ni Web ukishafanikiwa kuingia Oral haibadiliki. Hapo cheki kwenye App
Hongera sana, kila la kheri kwenye majukumu yako mapyaMu
Mungu yu Mwema hakika, hatimae nimo.
Thanks Team, tuendelee kumuomba mema Mungu Kwa mafanikio ya Kila Moja wetu.[emoji1666]
Hongera sana mwamba!!Thanks sana ndugu
Niko kitaa since 2016 nafanya ujasiriamali, mwaka 2022 nilipitia kipindi kigumu sana kiuchumi kwa mara ya kwanza nikafungua account utumishi kufuatilia nafasi za kazi.
Mwezi wa 5, 2022 utumishi zikatoka nafasi nikaomba.
Mwezi 2, 2023 nilikuwa safarini kwenda Kahama kucheki fursa, nikaona utumishi selected for interview, Dah nisome kipi niache kipi. nikakomaa na kusoma National act na Policy.
Nikatua Dodoma kama leo usiku kesho yake interview. Fika Udom piga written 80% ya maswali yalitoka kwenye National act.
Oral interview nilimwachia Mungu niliona sina cha kusoma. Ila muujiza uliotokea Asubuhi tulivyofika Migiro kuna wadada walikuwa wamesimama pembeni walikuwa wanaulizana maswali na majibu.
Kuna dada mmoja alikuwa kinara wa kuwafafanulia wenzake
Nikasogea karibu yao nikawa nawasikiliza aisee kwenye hiyo discussion yao yalitoka maswali 3 kwenye oral, wale wadada Mungu awabariki sana. Nadhani wote wamepata kazi pia.
Baada ya oral sikutaka kabisa kuangalia web wala App status ipoje nikawa nasuburia pdf tuu. Mwezi wa 6 hapa kulikuwa na mjadala mkali wa status.
Nikaamua kuangalia status zangu kote web na app kulikuwa kunasoma selected for oral.
Mungu ni mwema nimepenya.
Hongera sana mwamba!!Thanks sana ndugu
Niko kitaa since 2016 nafanya ujasiriamali, mwaka 2022 nilipitia kipindi kigumu sana kiuchumi kwa mara ya kwanza nikafungua account utumishi kufuatilia nafasi za kazi.
Mwezi wa 5, 2022 utumishi zikatoka nafasi nikaomba.
Mwezi 2, 2023 nilikuwa safarini kwenda Kahama kucheki fursa, nikaona utumishi selected for interview, Dah nisome kipi niache kipi. nikakomaa na kusoma National act na Policy.
Nikatua Dodoma kama leo usiku kesho yake interview. Fika Udom piga written 80% ya maswali yalitoka kwenye National act.
Oral interview nilimwachia Mungu niliona sina cha kusoma. Ila muujiza uliotokea Asubuhi tulivyofika Migiro kuna wadada walikuwa wamesimama pembeni walikuwa wanaulizana maswali na majibu.
Kuna dada mmoja alikuwa kinara wa kuwafafanulia wenzake
Nikasogea karibu yao nikawa nawasikiliza aisee kwenye hiyo discussion yao yalitoka maswali 3 kwenye oral, wale wadada Mungu awabariki sana. Nadhani wote wamepata kazi pia.
Baada ya oral sikutaka kabisa kuangalia web wala App status ipoje nikawa nasuburia pdf tuu. Mwezi wa 6 hapa kulikuwa na mjadala mkali wa status.
Nikaamua kuangalia status zangu kote web na app kulikuwa kunasoma selected for oral.
Mungu ni mwema nimepenya.
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapyaFrom Database nimeruka na kitu cha Halmashauri. Mungu ni mwema.
Kaka vp umepata? Nakuonaga una subiria CDO. nakuheshimu because of your content na avatarIT shusha pdf lingine leo
CDO wamefikiwa
Relax mkuu... wakat wako utafkadah serikali naona inasomba formfour na diploma kwa wingi upande wa kada yangu
nitatoboa kweli
Degree siku hizi ni changamoto kila sehem wanapigwa chini sjui tunaelekea wap[emoji17][emoji24]dah serikali naona inasomba formfour na diploma kwa wingi upande wa kada yangu
nitatoboa kweli
man kila niki scrow pdf nakutana na neno assistant vs assistant.Degree siku hizi ni changamoto kila sehem wanapigwa chini sjui tunaelekea wap[emoji17][emoji24]
Utapata tu ni swala la mudaman kila niki scrow pdf nakutana na neno assistant vs assistant.
lakini nachomuomba MUNGU aliye juu. afanye wepesi nipate ajira utawala huu wa mama samia.
watakuja pimbi wengine , vijana tutaishia kuishi kwa ndugu,mashemeji nk full manyanyaso kama zamani.