mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,659
Kwa mujibu wa baadhi ya watu wanasema ni tatizo la kimtandao maana hata baadhi ya ambao wako chuoni na wanapokea mkopo wametumiwa hiyo txt. Ila kwa uhakika zaidi check hiyo account kama iko sawa au wapigie loan boardnje ya mada wakuu, unaweza npm kwa msaada personal zaid maana nafahamu hapa ndio chaka la wataalam
mdogo wangu alikua jkt application za vyuo nime mfanyia mimi.
kipengele kilichopo sasa ni kwa hawa wakuu loan Board(heslb)
mwanzo nilipocheki kwa account nilikutana na neno congratulation sawadogo your account is ready verified,wait for allocation process.
jana usiku,nimepata notification kuwa sawadogo badilisha taarifa zako sehemu fulani! naukicheki ziko poa tu vp wakuu namna moja ama nyingine hkuna aliye face hili tatizo?
Sina uhakika na posho ila scholarship nje njeHivi udsm wana posho/allowances au ni shahara plain tu?
ngoja tuone mkuu, nitafuatiliaKwa mujibu wa baadhi ya watu wanasema ni tatizo la kimtandao maana hata baadhi ya ambao wako chuoni na wanapokea mkopo wametumiwa hiyo txt. Ila kwa uhakika zaidi check hiyo account kama iko sawa au wapigie loan board
Sina uhakika na posho ila scholarship nje nje
Nadhani cheki matokeo kwenye websiteWakuu kwema?? Hii imekaaje wakuu tumepiga written leo utumishi lakini kwenye account tumeandikiwa not selected wakati PDF la marks hawajatoa hii imekaaje asee na paper kiukweli ilikuwa normal tu na oral ni baadae leo samoja asubuhi hii imekaaje au Kuna mtu humu alishakumbana na hii Hali kwanini wasitoe PDF la marks???????
Hiyo tayali ushakandwa, jipange kwa mapambano mengine !Wakuu kwema?? Hii imekaaje wakuu tumepiga written leo utumishi lakini kwenye account tumeandikiwa not selected wakati PDF la marks hawajatoa hii imekaaje asee na paper kiukweli ilikuwa normal tu na oral ni baadae leo samoja asubuhi hii imekaaje au Kuna mtu humu alishakumbana na hii Hali kwanini wasitoe PDF la marks???????
Hiyo imekula jamaa, hata sisi tumepitia hiyo, unasubiri pdf hadi saa nane usiku ili kuhakiki kwamba umekandwa sawa,sawa , sema pepa ya utumishi huwa siyo normal ni technical sana so inahitaji upeo sana kujibu written yao.Wakuu kwema?? Hii imekaaje wakuu tumepiga written leo utumishi lakini kwenye account tumeandikiwa not selected wakati PDF la marks hawajatoa hii imekaaje asee na paper kiukweli ilikuwa normal tu na oral ni baadae leo samoja asubuhi hii imekaaje au Kuna mtu humu alishakumbana na hii Hali kwanini wasitoe PDF la marks???????
Daaaaah hakuna kipindii niliumia Sana kama kuona status NOT SELECTED FOR ORAL INTERVIEW wakatii nimetumia pesaa karibiaa lakii mbilii kusafiri na kukaa Dodoma,nimesomaa kwa zaidii ya miezii miwilii,it was so painful for me, Namuomba Mungu anisaidiee siku moja nilambe asali nisahau Yale maumivuHiyo imekula jamaa, hata sisi tumepitia hiyo, unasubiri pdf hadi saa nane usiku ili kuhakiki kwamba umekandwa sawa,sawa , sema pepa ya utumishi huwa siyo normal ni technical sana so inahitaji upeo sana kujibu written yao.
Mapambano yaendelee.
Hapana mkuu Mimi sikubahatika kuingia kwenye Oral interviewPole Mkuu lakini suala la Status sio inshu sana watu wana Selected for oral interview lakini leo mwaka hawajapata hata hiyo placement
Pole sana, sema unapata uzoefu pia, tatizo la wengi kwenye written ya utumishi ni kujibu zile pepa zao.Daaaaah hakuna kipindii niliumia Sana kama kuona status NOT SELECTED FOR ORAL INTERVIEW wakatii nimetumia pesaa karibiaa lakii mbilii kusafiri na kukaa Dodoma,nimesomaa kwa zaidii ya miezii miwilii,it was so painful for me, Namuomba Mungu anisaidiee siku moja nilambe asali nisahau Yale maumivu
Daaaah tuzidii Kumuomba Mungu kiukwelii ipo siku tutatoboaPole sana, sema unapata uzoefu pia, tatizo la wengi kwenye written ya utumishi ni kujibu zile pepa zao.
Mara nyingi huwa wanataka vitu direct, short and clear.
Mwenyewe mara ya kwanza napiga pepa yao sikujua namna nzuri ya kujibu, unasikia zimebaki dakika 10 na upo swali pili kati ya maswali manne.
Wengine tumekosa maksi moja kuingia oral
Yaani kila mtu ana mkasa wake ws kuumiza kuhusu psrs, kikubwa ni kupiga moyo konde na kujipanga upya, so kuna kusoma na kujibu pepa ya psrs.
Hakuna linaloshindikana mwamba Mimi pia nilikuwa najiandaa lakini nikienda kupiga pepa naishia written tu nilikuwa naumia sana lakini ni mwaka huu nimepiga moja tu nikalamba asali usikate tamaa mdauDaaaaah hakuna kipindii niliumia Sana kama kuona status NOT SELECTED FOR ORAL INTERVIEW wakatii nimetumia pesaa karibiaa lakii mbilii kusafiri na kukaa Dodoma,nimesomaa kwa zaidii ya miezii miwilii,it was so painful for me, Namuomba Mungu anisaidiee siku moja nilambe asali nisahau Yale maumivu
Pole mkuu jipange kwa Interview zijazo. Mara nyingi Matokeo yanaanza kuwekwa kweny account yako.Wakuu kwema?? Hii imekaaje wakuu tumepiga written leo utumishi lakini kwenye account tumeandikiwa not selected wakati PDF la marks hawajatoa hii imekaaje asee na paper kiukweli ilikuwa normal tu na oral ni baadae leo samoja asubuhi hii imekaaje au Kuna mtu humu alishakumbana na hii Hali kwanini wasitoe PDF la marks???????
Pole sana mkuu...Mungu ni mwema atakupigania usikate tamaa bado mapema watu tunaingia oral zaidi ya mbili tunaaambiwa database expire..Ila bado hatukati tamaa tuna imani ipo siku yangu inakujaDaaaaah hakuna kipindii niliumia Sana kama kuona status NOT SELECTED FOR ORAL INTERVIEW wakatii nimetumia pesaa karibiaa lakii mbilii kusafiri na kukaa Dodoma,nimesomaa kwa zaidii ya miezii miwilii,it was so painful for me, Namuomba Mungu anisaidiee siku moja nilambe asali nisahau Yale maumivu
nyani mzee nakuangalia tu,pole mkuuWakuu kwema?? Hii imekaaje wakuu tumepiga written leo utumishi lakini kwenye account tumeandikiwa not selected wakati PDF la marks hawajatoa hii imekaaje asee na paper kiukweli ilikuwa normal tu na oral ni baadae leo samoja asubuhi hii imekaaje au Kuna mtu humu alishakumbana na hii Hali kwanini wasitoe PDF la marks???????
Sio poa mkuunyani mzee nakuangalia tu,pole mkuu
ridhika na ulichonacho na sis ambao tuko mtaani mwaka wa 6 tusemeje wakat tulomaliza nao wameajiriwaKichwa lazma kikuume ukitaka usitake mwenzako ulie ajiriwa nae sawa yeye yuko TCRA ww upo halmashauri ya tunduma huko ndani ndani ,mwenzako anavuta parefu ww siku zote kishahara mkia hakuna hata posho alaf unasema kichwa kisikuume 😅😅sio fair kabisa.
Mpaka Data base expire zipo kumbePole sana mkuu...Mungu ni mwema atakupigania usikate tamaa bado mapema watu tunaingia oral zaidi ya mbili tunaaambiwa database expire..Ila bado hatukati tamaa tuna imani ipo siku yangu inakuja