Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Unajua watu wengi mnapima mafanikio kwa mahali mtu alipo na sio vile anavyomiliki. Muhasibu wa halmashauri ya tunduma anaweza kukusanya hela nyingi kuliko huyo engineer wa TCRA na kwa sababu sehemu kama tunduma maisha yako chini maana yake huyu wa halmashauri anaweza kumiliki properties na assets nyingi kuliko mtu wa TCRA.

Huwa tuna joke kuhusu TGS lakini ukifuatilia mtu wa TCRA anaeishi kinondoni, makongo ama goba ana waste hela nyingi wakati huyu wa tunduma ana accumulate hela nyingi.

Ndio maana ukienda halmashauri kama hizo unakuta kila mtu anamiliki mijengo na ardhi za kutosha ila wewe wa TCRA unamiliki SUBARU forester , iphone 12 na Demu mkali.
Haya niambie unalipwa 520k no posho no perdiem hizo accumulation za assets utazitolea wapi kama si mwizi.
Una familia pia inakutegem
Be patient mkuu huwezi kukusanya assets na juzi ulikuwa Graduate yani unataka kuwa tajiri in your 30s [emoji23]
Case closed 😅😅

Hii dunia hatujawahi kuwa sawa kwa nyanja yoyote ile
 
Mkuu nikuulize unafanya kazi halmashauri au unapokea Hiyo TGS ? kwa muda gani?

Kuna vijana wa Mataasisi makubwa maisha yao magumu sana wanashinda masaki kula pizza lakini wanapiga mizinga balaa, wanapenda kuonekana Rich muda wote.

Halafu kuna wafanyakazi halmashauri ya masasi wanalima ufuta usipime, msimu wa korosho wanajaa mifuko asikwambie mtu I am talking from experience.

Ndo maana nakwambia patience ni kila kitu.
 
Mkuu elewa tu sio poa
 
Ndugu zangu wengi wanaosaidia familia ni watu wa TGS iwe misiba, harusi, ada n.k hao watu wa mascale ya juu muda wote wanasema hawana hela Ukiomba wanakwambia Dar maisha magumu sana [emoji23][emoji23][emoji23]
Exactly wanamaisha magumu kweli

Hebu cheki makadirio haya

Nyumba kodi 500k+
Mafuta kila siku 15000+
Chakula daily 15000+
---------------------------------------
Total 1,400,000

Achana na matumizi mengine yoote.

Niambie halmashuri gani huko ndani ndani mnakosema kuna matumizi ya kufikia nusu ya hayo hapo juu.

Halmashauri ya tunduma watu wanatembea kwa miguu kwenda ofisini kutoka kwenye nyumba ambayo kodi yale ni 100,000 kwa mwezi ambayo kwa nje imepandwa mboga mboga[emoji23]
 
Unajua watu wengi mnapima maendeleo kwa mahali mtu alipo na sio vile anavyomiliki. Muhasibu wa halmashauri ya tunduma anaweza kukusanya hela nyingi kuliko huyo engineer wa TCRA na kwa sababu sehemu kama tunduma maisha yako chini maana yake huyu wa halmashauri anaweza kumiliki properties na assets nyingi kuliko mtu wa TCRA.

Huwa tuna joke kuhusu TGS lakini ukifuatilia mtu wa TCRA anaeishi kinondoni, makongo ama goba ana waste hela nyingi wakati huyu wa tunduma ana accumulate hela nyingi.

Ndio maana ukienda halmashauri kama hizo unakuta kila mtu anamiliki mijengo na ardhi za kutosha ila wewe wa TCRA unamiliki SUBARU forester , iphone 12 na Demu mkali.
[emoji4][emoji4]... kama kuna ukweli hapa sijajua lakini...
 
Exactly wanamaisha magumu kweli

Hebu cheki makadirio haya

Nyumba kodi 500k+
Mafuta kila siku 15000+
Chakula daily 15000+
---------------------------------------
Total 1,400,000

Achana na matumizi mengine yoote.

Niambie halmashuri gani huko ndani ndani mnakosema kuna matumizi ya kufikia nusu ya hayo hapo juu.

Halmashauri ya tunduma watu wanatembea kwa miguu kwenda ofisini kutoka kwenye nyumba ambayo kodi yale ni 100,000 kwa mwezi ambayo kwa nje imepandwa mboga mboga[emoji23]

Upo sahihi mkuu.
 
Upo sahihi mkuu! Lakini hii haitakiwi kumkatisha tamaa mtumishi bali iwe chachu ya kuumiza kichwa na kuona namna nzuri ya kujituma kwa nafasi yake ili kuleta matokeo chanya. Na vilevile kutumia fursa zilizokuzunguka...usipende kukaa bure tuu kwa sababu serikali itakulipa mshahara hata kama hauufanyii kazi kivile.
Work hard, work hard.. be self motivated....
Jamaa akareport tu ,apige kazi , kama hataki aje kwa kanjibai huku abadilishane na mimi ,aonje jehanamu ya moto wa kanjibai na mchina !
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Unajua watu wengi mnapima maendeleo kwa mahali mtu alipo na sio vile anavyomiliki. Muhasibu wa halmashauri ya tunduma anaweza kukusanya hela nyingi kuliko huyo engineer wa TCRA na kwa sababu sehemu kama tunduma maisha yako chini maana yake huyu wa halmashauri anaweza kumiliki properties na assets nyingi kuliko mtu wa TCRA.

Huwa tuna joke kuhusu TGS lakini ukifuatilia mtu wa TCRA anaeishi kinondoni, makongo ama goba ana waste hela nyingi wakati huyu wa tunduma ana accumulate hela nyingi.

Ndio maana ukienda halmashauri kama hizo unakuta kila mtu anamiliki mijengo na ardhi za kutosha ila wewe wa TCRA unamiliki SUBARU forester , iphone 12 na Demu mkali.
Umesahau na kumiliki Title, me nipo TCRA
 
Back
Top Bottom