Mr Spider
JF-Expert Member
- Feb 28, 2020
- 1,773
- 3,201
Zimefika mkuu!!utawasalimu TARI mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zimefika mkuu!!utawasalimu TARI mkuu
Nashauri mlio na mkando Jumatatu, jitahidini msafiri mapema(siku ya jumapili ) ingawa najua kuna changamoto mbali mbali ikiwemo upungufu wa hela ya mahitaji.Kama ntafanikiwa kufika dom leo .
Sitarudia kusafiri usiku,sa hivi sa nane na dk 28 gari limeharibikia dakawa .
Nina interview saa moja kamili eh mungu nisaidie.
Ni kweli kabisa mkuu, ni afadhali mtu afanye kukata ticket bus za kuanzia mchana ili aingie Dom usiku afikie pale Stand apigie msuli pale.Nashauri mlio na mkando Jumatatu, jitahidini msafiri mapema(siku ya jumapili ) ingawa najua kuna changamoto mbali mbali ikiwemo upungufu wa hela ya mahitaji.
Kusafiri usiku ili kesho yake ukafanye usaili ni risk sana, hilo jambo hakuna kuhadithia sana, ushuhuda ndio huu kutoka Twinawe aliwahi kukosa usaili kwa kusafiri usiku then akapata changamoto.
Kila la kheri kwenye maandalizi yenu Mungu akawe upande wenu.
Nakazia kuhusu ili maana mi ndo nilikua muhanga .Nashauri mlio na mkando Jumatatu, jitahidini msafiri mapema(siku ya jumapili ) ingawa najua kuna changamoto mbali mbali ikiwemo upungufu wa hela ya mahitaji.
Kusafiri usiku ili kesho yake ukafanye usaili ni risk sana, hilo jambo hakuna kuhadithia sana, ushuhuda ndio huu kutoka Twinawe aliwahi kukosa usaili kwa kusafiri usiku then akapata changamoto.
Kila la kheri kwenye maandalizi yenu Mungu akawe upande wenu.
Mwifwa Mungu akubariki sana kaka.... Ushalamba asali... lakini huwachi walio nyuma yako kuwapa ABC Mkuu Mungu akubariki sana aseeNashauri mlio na mkando Jumatatu, jitahidini msafiri mapema(siku ya jumapili ) ingawa najua kuna changamoto mbali mbali ikiwemo upungufu wa hela ya mahitaji.
Kusafiri usiku ili kesho yake ukafanye usaili ni risk sana, hilo jambo hakuna kuhadithia sana, ushuhuda ndio huu kutoka Twinawe aliwahi kukosa usaili kwa kusafiri usiku then akapata changamoto.
Kila la kheri kwenye maandalizi yenu Mungu akawe upande wenu.
[emoji1787][emoji1787].... ukichunguza kwa makini utagundua wanaoogelea kwenye TGS wengi wao hawatumii nguvu nyingi sanaa kwenye kuiingizia serikali mapato. Ni kama watoa huduma, sasa ili taasisi ibadilishiwe scale ni lazima ionyeshe inazalisha product au huduma. Japo kuna mahali wanazalisha na kuuza lakini bado wanalamba TGS.Hivi aliyesababisha kuleta mishahara ya TGS ni nan?
Kwanini wengine walambe asali pure kabisa na wengine makapi??
Mshahara si hoja nenda kazini Rafiki zangu wengi wanapokea 241,000 mpaka 300,000 baada ya makato yote lakini wanatembelea ma crown na Volks wagen, ada wanalipa, kodi wanalipa na wanasaidia wazazi, ingia kwanza kazini mkuuHivi aliyesababisha kuleta mishahara ya TGS ni nan?
Kwanini wengine walambe asali pure kabisa na wengine makapi??
Pale serikali ilipoamua taasisi zijiendeshe kibiashara ndo likapatikana kundi la wazalishaji (TRA,BANDARI,MAMLAKA ZA MAJI,TPDC,EWURA,TANAPA,TAA,TASAC,BLERA, LITA,NK) na kundi la wategemezi wanaosubiri ao wa juu wazalishe ndo na wao wagawiwe (HALMASHAURI,WIZARA,)Hivi aliyesababisha kuleta mishahara ya TGS ni nan?
Kwanini wengine walambe asali pure kabisa na wengine makapi??
[emoji4][emoji4], kila kijiwe kina mambo yake!! Usidharau TGS kabisa! Kuna sehemu wanapokea TGS ila ukiwatazama kwa undani unagundua kuna siri. Si vyema kuanika mambo kama hayo sehemu ya public kama hapa. Lakini unachotakiwa ni kujituma ukifika huko utakapopangiwa na PSRS.Mshahara si hoja nenda kazini Rafiki zangu wengi wanapokea 241,000 mpaka 300,000 baada ya makato yote lakini wanatembelea ma crown na Volks wagen, ada wanalipa, kodi wanalipa na wanasaidia wazazi, ingia kwanza kazini mkuu
[emoji3][emoji3] Kabisa nenda karipoti kazini kwanza.[emoji4][emoji4], kila kijiwe kina mambo yake!! Usidharau TGS kabisa! Kuna sehemu wanapokea TGS ila ukiwatazama kwa undani unagundua kuna siri. Si vyema kuanika mambo kama hayo sehemu ya public kama hapa. Lakini unachotakiwa ni kujituma ukifika huko utakapopangiwa na PSRS.
Upo sahihi mkuu! Lakini hii haitakiwi kumkatisha tamaa mtumishi bali iwe chachu ya kuumiza kichwa na kuona namna nzuri ya kujituma kwa nafasi yake ili kuleta matokeo chanya. Na vilevile kutumia fursa zilizokuzunguka...usipende kukaa bure tuu kwa sababu serikali itakulipa mshahara hata kama hauufanyii kazi kivile.Pale serikali ilipoamua taasisi zijiendeshe kibiashara ndo likapatikana kundi la wazalishaji (TRA,BANDARI,MAMLAKA ZA MAJI,TPDC,EWURA,TANAPA,TAA,TASAC,BLERA, LITA,NK) na kundi la wategemezi wanaosubiri ao wa juu wazalishe ndo na wao wagawiwe (HALMASHAURI,WIZARA,)
Hii sio fair kabisa,,,, penepo njaa wakuu hakukosi unafiki, uchawi, majungu na kujipendekeza.[emoji1787][emoji1787].... ukichunguza kwa makini utagundua wanaoogelea kwenye TGS wengi wao hawatumii nguvu nyingi sanaa kwenye kuiingizia serikali mapato. Ni kama watoa huduma, sasa ili taasisi ibadilishiwe scale ni lazima ionyeshe inazalisha product au huduma. Japo kuna mahali wanazalisha na kuuza lakini bado wanalamba TGS.
Lakini ni matumaini yangu kwamba haya mambo yataenda badilika huko mbeleni.
Huku wahasibu hakuna posho kabisa TAUSI Duuuhhalmashauri ndo kilichobaki dah
Kichwa lazma kikuume ukitaka usitake mwenzako ulie ajiriwa nae sawa yeye yuko TCRA ww upo halmashauri ya tunduma huko ndani ndani ,mwenzako anavuta parefu ww siku zote kishahara mkia hakuna hata posho alaf unasema kichwa kisikuume 😅😅sio fair kabisa.Upo sahihi mkuu! Lakini hii haitakiwi kumkatisha tamaa mtumishi bali iwe chachu ya kuumiza kichwa na kuona namna nzuri ya kujituma kwa nafasi yake ili kuleta matokeo chanya. Na vilevile kutumia fursa zilizokuzunguka...usipende kukaa bure tuu kwa sababu serikali itakulipa mshahara hata kama hauufanyii kazi kivile.
Work hard, work hard.. be self motivated....
Mkuu Twinawe hivi hawa mamlaka za maji Kuna kitu kweli mule, naona nao wanatumia TGS tu.Pale serikali ilipoamua taasisi zijiendeshe kibiashara ndo likapatikana kundi la wazalishaji (TRA,BANDARI,MAMLAKA ZA MAJI,TPDC,EWURA,TANAPA,TAA,TASAC,BLERA, LITA,NK) na kundi la wategemezi wanaosubiri ao wa juu wazalishe ndo na wao wagawiwe (HALMASHAURI,WIZARA,)
Unajua watu wengi mnapima maendeleo kwa mahali mtu alipo na sio vile anavyomiliki. Muhasibu wa halmashauri ya tunduma anaweza kukusanya hela nyingi kuliko huyo engineer wa TCRA na kwa sababu sehemu kama tunduma maisha yako chini maana yake huyu wa halmashauri anaweza kumiliki properties na assets nyingi kuliko mtu wa TCRA.Kichwa lazma kikuume ukitaka usitake mwenzako ulie ajiriwa nae sawa yeye yuko TCRA ww upo halmashauri ya tunduma huko ndani ndani ,mwenzako anavuta parefu ww siku zote kishahara mkia hakuna hata posho alaf unasema kichwa kisikuume [emoji28][emoji28]sio fair kabisa.
kwani mafanikio ni ku accumulate mali au ni ku balance kutumia na cha ku save?Unajua watu wengi mnapima mafanikio kwa mahali mtu alipo na sio vile anavyomiliki. Muhasibu wa halmashauri ya tunduma anaweza kukusanya hela nyingi kuliko huyo engineer wa TCRA na kwa sababu sehemu kama tunduma maisha yako chini maana yake huyu wa halmashauri anaweza kumiliki properties na assets nyingi kuliko mtu wa TCRA.
Huwa tuna joke kuhusu TGS lakini ukifuatilia mtu wa TCRA anaeishi kinondoni, makongo ama goba ana waste hela nyingi wakati huyu wa tunduma ana accumulate hela nyingi.
Ndio maana ukienda halmashauri kama hizo unakuta kila mtu anamiliki mijengo na ardhi za kutosha ila wewe wa TCRA unamiliki SUBARU forester , iphone 12 na Demu mkali.
Mafanikio ni state of mind (every body define their own way)kwani mafanikio ni ku accumulate mali au ni ku balance kutumia na cha ku save?
Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
Haya niambie unalipwa 520k no posho no perdiem hizo accumulation za assets utazitolea wapi kama si mwizi.Unajua watu wengi mnapima mafanikio kwa mahali mtu alipo na sio vile anavyomiliki. Muhasibu wa halmashauri ya tunduma anaweza kukusanya hela nyingi kuliko huyo engineer wa TCRA na kwa sababu sehemu kama tunduma maisha yako chini maana yake huyu wa halmashauri anaweza kumiliki properties na assets nyingi kuliko mtu wa TCRA.
Huwa tuna joke kuhusu TGS lakini ukifuatilia mtu wa TCRA anaeishi kinondoni, makongo ama goba ana waste hela nyingi wakati huyu wa tunduma ana accumulate hela nyingi.
Ndio maana ukienda halmashauri kama hizo unakuta kila mtu anamiliki mijengo na ardhi za kutosha ila wewe wa TCRA unamiliki SUBARU forester , iphone 12 na Demu mkali.