Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapyaMungu ni mwema, wadau na mm leo nimelamba asali namshukuru sana mungu, nawashukuru wana uzi huu kwa faraja zenu kipindi nasubilia placement wadau msikate tamaa wakati wa mungu ndio wakati sahihi, lakn pia naamini yajayo yanafurahisha kwa upande wenu.