Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mungu ni mwema, wadau na mm leo nimelamba asali namshukuru sana mungu, nawashukuru wana uzi huu kwa faraja zenu kipindi nasubilia placement wadau msikate tamaa wakati wa mungu ndio wakati sahihi, lakn pia naamini yajayo yanafurahisha kwa upande wenu.
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapya
 
Hapo maana yake amefika ile passmark ya 50 na amehifadhiwa database. Sasa kama database kuna foleni na nafasi zikitokea wanaanza kwanza wenye high marks na sio nani katangulia kuingia database
Hii Database yao wanayoita(siri kwao)wangetumia formula ya FIFO(first Inn First Out) ingekuwa inamata zaidi kutokana na utofauti wa paper...
 
daah sio poah wengi wakongwe + wageni wa huu uzi wamepata kazi.

sahili mpya za mchumi ,agro , market angalau niongeze received nazo zimekauka.

kitaa nacho sio mchezo nimwendo wa doso tuu
Nakuelewa man ! Doso la kitaa ni nyoko kaka,wengine tumejibanza kwa kibarua cha kanjibai ila cha moto tunakipata , malipo kibaba halmashauri nafuu [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1], maslahi sisimizi ,kazi tembo maanina, mwezi unautafuta kwa tochi .
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Bongo nyoso man
 
Usiombe mkuu kazi ya Kanjibai au wachina macho madogo wale jamaa wana roho mbaya sana
Nakuelewa man ! Doso la kitaa ni nyoko kaka,wengine tumejibanza kwa kibarua cha kanjibai ila cha moto tunakipata , malipo kibaba halmashauri nafuu [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1], maslahi sisimizi ,kazi tembo maanina, mwezi unautafuta kwa tochi .
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Bongo nyoso man
 
Mungu ni mwema, wadau na mm leo nimelamba asali namshukuru sana mungu, nawashukuru wana uzi huu kwa faraja zenu kipindi nasubilia placement wadau msikate tamaa wakati wa mungu ndio wakati sahihi, lakn pia naamini yajayo yanafurahisha kwa upande wenu.

Hongera sana mwamba,

Nakutakia mafanikio katika kutimiza majukumu uliopangiwa na serikali. Ukawe mtumishi mtiifu mwenye kufata Sheria, Kanuni na Taratibu za Utumishi wa umma.

Pia, tumia muda kufurahia mafanikio hayo ukiwa na ndugu na jamaa zako wa karibu kwani haikuwa rahisi kufika hapo.

Mwisho, kumbuka kutoa shukrani/ msaada kwa jamii yenye mahitaji katika mazingira unayotokea.
 
Hatamaeee nimeingia kwenye asali mbichi ya baharii toka mwaka jana mwezi wa 11 leoo 28.9.2023

Hongera sana mkuu,

Nakutakia kila lenye kheri katika maisha yako ya Utumishi wa Umma, ukawe mtumishi wa mfano katika kutimiza majukumu yako na hatimae kusaidia Taifa letu.

Jipe muda wa kufurahia mafanikio haya kwa kula bata ukiwa na jamaa zako wa karibu kwani haikuwa rahisi kufika hapo.

Mwisho, kumbuka kutoa shukrani kwa jamii yenye mahitaji (makundi maalumu) hii ni ishara nzuri sana ya kumwambia Mwenyezi Mungu ahsante kwa kunipa hitaji langu.
 
Tuwaamini sana utumishi ,hatimaye nimelamba asali kutoka database

Bravo mkuu 😀 😀😀,

Hakika haikuwa rahisi, wakati wa Mungu ni wakati na sahihi kabisa na daima huja na suprise za kutosha.

Binafsi naomba nikupongeze kisha nikutashie majukumu mema katika kazi yako mpya. Katende haki na kufuata Sheria, Taratibu na Kanuni za Utumishi wa Umma.

Mwisho na kusihi kutoa shukrani kwa jamii na hasa kwa makundi yenye uhitaji katika jamii inayokuzunguka. Hii itakusaidia kufungua njia/ milango mingine ya ridhiki kwako.
 
Hongera sana mwamba,

Nakutakia mafanikio katika kutimiza majukumu uliopangiwa na serikali. Ukawe mtumishi mtiifu mwenye kufata Sheria, Kanuni na Taratibu za Utumishi wa umma.

Pia, tumia muda kufurahia mafanikio hayo ukiwa na ndugu na jamaa zako wa karibu kwani haikuwa rahisi kufika hapo.

Mwisho, kumbuka kutoa shukrani/ msaada kwa jamii yenye mahitaji katika mazingira unayotokea.
Asante sana mwamba!!
 
Back
Top Bottom