Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]imagine suti ichanike na utumishi wanikande sinitachanganyikiwa mimi mr jobless
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Basi tuombe suti isichanike ili ibaki kuwa kwa amtumizi ya mikando mingine
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]asaivi manzi akinipiga kibuti namulaani kabisa hahhh
Vijisenti vinatia kiburi sijui kwa nini kwa watu wote(Me na Ke).

Utasikia "Huyu sio type yangu"

Kuna mdada mmoja katika kupiga story, mada ya wachumba ikaingia.

Yeye alidai anataka mwanaume mwenye funguo 3. Ufunguo wa Nyumba, Gari na Duka.

Mwanamke kama huyu ni rahisi kukupiga kibuti akivipata hivyo kwa mwanaume mwingine
 
mimi ni dume mkuu,achana na hiyo avatar

Hahaha, duh! Mkuu, mbona mnafanya maisha ya Jf yawe magumu sana.

Hili jibu lako limenifanya niende kutafuta Panadol kupoza maumivu.

Hujui tu hiyo picha yako ni kwa kiasi gani imefanya wanaume humu tukupe ukarimu wa hali ya juu.

Siumeona wizy alivyokuwa anapata tabu ya kuhakikisha kila ujumbe wako anaukomenti, unadhani angejua ni kidume mwenzetu angehangaika!
 
Kweli wakuu basi kama ni hivyo wawe na nidhamu na hizo kazi wakati hausimami
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…