Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]imagine suti ichanike na utumishi wanikande sinitachanganyikiwa mimi mr jobless
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Basi tuombe suti isichanike ili ibaki kuwa kwa amtumizi ya mikando mingine
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]asaivi manzi akinipiga kibuti namulaani kabisa hahhh
Vijisenti vinatia kiburi sijui kwa nini kwa watu wote(Me na Ke).

Utasikia "Huyu sio type yangu"

Kuna mdada mmoja katika kupiga story, mada ya wachumba ikaingia.

Yeye alidai anataka mwanaume mwenye funguo 3. Ufunguo wa Nyumba, Gari na Duka.

Mwanamke kama huyu ni rahisi kukupiga kibuti akivipata hivyo kwa mwanaume mwingine
 
mimi ni dume mkuu,achana na hiyo avatar

Hahaha, duh! Mkuu, mbona mnafanya maisha ya Jf yawe magumu sana.

Hili jibu lako limenifanya niende kutafuta Panadol kupoza maumivu.

Hujui tu hiyo picha yako ni kwa kiasi gani imefanya wanaume humu tukupe ukarimu wa hali ya juu.

Siumeona wizy alivyokuwa anapata tabu ya kuhakikisha kila ujumbe wako anaukomenti, unadhani angejua ni kidume mwenzetu angehangaika!
 
Watu wengi sio kwamba hawana kazi ila hawajaajiriwa tu au hawana ajira za kudumu / (They are unemployed but they have job [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787])

#Tatizo job security, working condition, good wages, NSSSF na Bima ya Afya makes suffering [emoji1787][emoji1787][emoji1787]


#NATANIA

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Kweli wakuu basi kama ni hivyo wawe na nidhamu na hizo kazi wakati hausimami
 
Back
Top Bottom