HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Nimemuachia Mungu mkuu. Mimi nimefanya kadri ya nilivyojaaliwa na kuzingatia madini yote ya wakuu kama Mwifwa na mfwende sawadogo
Kwa sasa jikite mishe zingine huku ukiendelea kufuatilia kwa karibu placement hasa kuanzia December huko.

Pia usiache kuomba nafasi zingine zitakazoendelea kutangazwa na endapo ukiitwa tena usisite kwenda kufanya written
 
MREJESHO

Usaili wa kwanza utumishi
Nimepenya written
Nimeshafanya oral

Kweli jamii forum ni kisima Cha maarifa
Dah me mwenyewe Leo nimepokea mkando hatari, nilifanya written juzi jumatatu kwa kazi 2 tofauti i.e EXAMINATION OFFICER na REGISTRATION OFFICER zote NECTA kila moja ikiwa na nafasi 2. Matokeo yametoka Jana nkipenya zote na kuingia oral.
 
Mamlaka ya Mapato inapendwa na kila mtu kwahiyo kasoro za hapa na pale na malalamiko ya hapa na pale ni lazima yawepo. Taasisi ziachwe zitafute talent zitakazo fit mahitaji yao.
 

TRA wametumia miezi mitatu kuita watu interview, utumishi walikuwa wanakaa hata miezi 11 kuitwa written,then baada ya oral ndo usiseme ushahidi ni jina la uzi huu tunaochangia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…