Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Sisi tuliletewa fomu tukajaza, zikakusanywa na kupelekwa.

Sijui ishu ya hiyo portal kabisa.

NOTE: Tujitajidi kujenga uchumi kwa kadri tuwezavyo hata kama tunakatwa kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii, ili baadae tukijaliwa kufika umri wa kustaafu tusianze kuhangaika na Mafao badala yake uchumi tuliojenga ndio tuishi humo humo(yaani jata usipopata mafao isiwe shida kwa sababu kikokotoo ni miyeyusho sana nchi na hatujui huko mbeleni mambo yatakuwaje)
Umenena Mwifwa
 
Sababu kubwa ya kurudisha mamlaka ya kuajiri kwa taasisi husika kutoka Utumishi Mh. Rais alidanganywa kwamba ni kucheleweshwa kwa mchakato wa kuajiri kwa hiyo wafanyakazi hawapatikani kwa wakati.

Lakini kinachoendelea baada ya taasisi kurudishiwa mamlaka ni vichekesho.

Kwa mfano, TRA wamechelewa kuwaita watu na bado walipowaita palikuwa na makosa mengi kuanzia kuwaacha wenye vigezo mpaka siku ya mtihani kuna dogo ameniambia baadhi namba za mtihani zilifanana na wengine walijikuta wameitwa zaidi ya mara moja au mtu mmoja kupewa namba mbili tofauti. Mpaka sasa tunavyozungumza hata Oral haijulikani ni lini wala ni nani amefaulu!? Hivi huku ni kuboresha au kuharibu mifumo!

Changamoto ni kwamba taarifa zinazowaumiza wengi kama hivi huwa hazifiki kwa wenye mamlaka ila zinazowakwamisha wachache ni lazima zifike zikiwa na mkazo kwamba wanaoteseka ni wengi.
 
Dah htr sana. Kuna mambo yanahitaji uwe katili ili uyasolve kwa usahihi.
 
Ile issue ya TRA ndio kipimo tosha kwa taasisi kuajil wenyewe au lah, yan paka leo Oral haijulikan n lin, wala haijulikan watafanya practical au hapana, Nakumbuka utumish paka sasa hivi wangekuwa wameshamaliza kusahisha na wameshafanya oral. ila TRA imekuwa tofaut hata kutoa ratiba watu wafahamu tu kuwa vitu vitafanyika lini na lin
 
hawa jamaa kwenye page yao waliahidi kutoa result ya oral soon as possible

smtm results ya oral ingekua open within 1- 2 days after oral interview ingetusaidia sana kuondokana na utegemezi ama msongo wa mawazo wowote usio rasmi kutoa kwao.

sisi ni kama clients wa psrs as ateam we need remarkable services sio ramli chonganishi kama hizi .
 
Back
Top Bottom