Soulja boy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 4,052
- 7,375
Ulishapita mkuu.kikubwa jiaminMkuu mie namshukuru Mungu nimepass aptitude test,na nimeitwa oral bot,nimeomba likizo ya wiki 1 job,saiv Niko chimbo najiandaa na oral,dua zenu muhimu🙏🙏🙏
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulishapita mkuu.kikubwa jiaminMkuu mie namshukuru Mungu nimepass aptitude test,na nimeitwa oral bot,nimeomba likizo ya wiki 1 job,saiv Niko chimbo najiandaa na oral,dua zenu muhimu🙏🙏🙏
Kila la heri mkuu, mtangulize Mungu hatakuachaMkuu mie namshukuru Mungu nimepass aptitude test,na nimeitwa oral bot,nimeomba likizo ya wiki 1 job,saiv Niko chimbo najiandaa na oral,dua zenu muhimu🙏🙏🙏
All the best to you. Mungu akakusimamieMkuu mie namshukuru Mungu nimepass aptitude test,na nimeitwa oral bot,nimeomba likizo ya wiki 1 job,saiv Niko chimbo najiandaa na oral,dua zenu muhimu🙏🙏
Umenena MwifwaSisi tuliletewa fomu tukajaza, zikakusanywa na kupelekwa.
Sijui ishu ya hiyo portal kabisa.
NOTE: Tujitajidi kujenga uchumi kwa kadri tuwezavyo hata kama tunakatwa kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii, ili baadae tukijaliwa kufika umri wa kustaafu tusianze kuhangaika na Mafao badala yake uchumi tuliojenga ndio tuishi humo humo(yaani jata usipopata mafao isiwe shida kwa sababu kikokotoo ni miyeyusho sana nchi na hatujui huko mbeleni mambo yatakuwaje)
Tuletee mkuu, tujifunzeKuna siku taleta kisa changu humu Cha kupambana kutafuta ajira serikalini na kuachana na NG'Os na kampuni zozote,,,,,,,, ushauri tu kijina yoyote jitahidi sana upate kazi serikalini huko kwingine ni kwa hovyo sana
Dah htr sana. Kuna mambo yanahitaji uwe katili ili uyasolve kwa usahihi.Sababu kubwa ya kurudisha mamlaka ya kuajiri kwa taasisi husika kutoka Utumishi Mh. Rais alidanganywa kwamba ni kucheleweshwa kwa mchakato wa kuajiri kwa hiyo wafanyakazi hawapatikani kwa wakati.
Lakini kinachoendelea baada ya taasisi kurudishiwa mamlaka ni vichekesho.
Kwa mfano, TRA wamechelewa kuwaita watu na bado walipowaita palikuwa na makosa mengi kuanzia kuwaacha wenye vigezo mpaka siku ya mtihani kuna dogo ameniambia baadhi namba za mtihani zilifanana na wengine walijikuta wameitwa zaidi ya mara moja au mtu mmoja kupewa namba mbili tofauti. Mpaka sasa tunavyozungumza hata Oral haijulikani ni lini wala ni nani amefaulu!? Hivi huku ni kuboresha au kuharibu mifumo!
Changamoto ni kwamba taarifa zinazowaumiza wengi kama hivi huwa hazifiki kwa wenye mamlaka ila zinazowakwamisha wachache ni lazima zifike zikiwa na mkazo kwamba wanaoteseka ni wengi.
yaani sio poa...Naona IT kajifunza mikausho sasa hivi💥💥💥 kwa nadra sana.
Hawa jamaa psrs inawezekana kuchelewesha majibu ya oral interview ni sehemu ya usaili😕yaani sio poa...
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Unataka kumaanisha nn mkuuHawa jamaa psrs inawezekana kuchelewesha majibu ya oral interview ni sehemu ya usaili[emoji53]
Baada ya oral interview kuna usaili usio rasmi wa kusubir matokeo[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Unataka kumaanisha nn mkuu
placement 😃Baada ya oral interview kuna usaili usio rasmi wa kusubir matokeo
😂😂😂😂Baada ya oral interview kuna usaili usio rasmi wa kusubir matokeo
Huuu usail unahtaj uvumilv wa Hali ya juu sanaBaada ya oral interview kuna usaili usio rasmi wa kusubir matokeo
ukitoka kwenye oral unaweza ukajua ushamaliza.kumbe ndio umechokoza nyuki..Hawa jamaa psrs inawezekana kuchelewesha majibu ya oral interview ni sehemu ya usaili😕