Kwa kweli amestahili. Kapambania tangu Majeshi.Yani huyu jamaa Nimepata furaha sana kwajili yake sijui kwanni tu
Hongera sana kakawakuu lazima tutoe mrejesho hapa
hatimaye nimeangukia halmashauri leo
Nawashukuru ndugu zangu
nawashukuru psrs
Hongera sana mkuu, ukawe mtumishi mwemawakuu lazima tutoe mrejesho hapa
hatimaye nimeangukia halmashauri leo
Nawashukuru ndugu zangu
nawashukuru psrs
Hongera sana mkuu...Ukawe Mtumishi mwemawakuu lazima tutoe mrejesho hapa
hatimaye nimeangukia halmashauri leo
Nawashukuru ndugu zangu
nawashukuru psrs
Hongera sana mfwende sawadogo, nilikuwa nakusoma sana humu nimefurahi sana kupata kwako kazi.wakuu lazima tutoe mrejesho hapa
hatimaye nimeangukia halmashauri leo
Nawashukuru ndugu zangu
nawashukuru psrs
Hongera sana kaka,Umenipa moyo wa kuwa mvumilivu nikiamini one day nitatoa ushuhuda humu.wakuu lazima tutoe mrejesho hapa
hatimaye nimeangukia halmashauri leo
Nawashukuru ndugu zangu
nawashukuru psrs
Huyu mwamba ni mfano wa kuigwa na nahisi Mungu aliamua kumtumia kutufundisha somo la Uvumilivu.... Huyu jamaa alikuwa mvumilivu na hakuna sehemu alikata tamaa...Hongera sana kaka,Umenipa moyo wa kuwa mvumilivu nikiamini one day nitatoa ushuhuda humu.
Mkuu Hongera sana …unaikumbuka hii post?kama tumeweza kuvumilia results ya NOT SELECTED FOR ORAL after written interview , pamoja na kuoneshwa passmark zetu. kipi kitashindwa kuvumilika kuona results ya oral incase ni mchinjo ama neema kwenye account ya jobless
Aaaah,binafsi nmefurahi sanaaa mzee,hongera sanaawakuu lazima tutoe mrejesho hapa
hatimaye nimeangukia halmashauri leo
Nawashukuru ndugu zangu
nawashukuru psrs
Sure kaka,Nimepata somo kubwa la uvumilivu kutoka kwake na kuamini kuwa wakati wa Mungu ni sahihi.Huyu mwamba ni mfano wa kuigwa na nahisi Mungu aliamua kumtumia kutufundisha somo la Uvumilivu.... Huyu jamaa alikuwa mvumilivu na hakuna sehemu alikata tamaa...
Mungu ambariki sana huyu mwamba
Daaahh!!!wakuu lazima tutoe mrejesho hapa
hatimaye nimeangukia halmashauri leo
Nawashukuru ndugu zangu
nawashukuru psrs
Aisee hongera sana mwambaaa dah uvumilivu hula mbivuuwakuu lazima tutoe mrejesho hapa
hatimaye nimeangukia halmashauri leo
Nawashukuru ndugu zangu
nawashukuru psrs
Gavano najua utapata amani sasa na ww.... maana ulionekana kukata ramaaAisee hongera sana mwambaaa dah uvumilivu hula mbivuu
Na sisi naamini ss tutaonwa one day dah mwka sasa tunsbria placement....hongera sana mwamba mfwende sawadogoAisee hongera sana mwambaaa dah uvumilivu hula mbivuu
Usikate tamaa, mambo yatajipa tuDaaahh!!!
Nimebaki mwenyewe mzee wng...
Hongera sana bloody.
Hongera sana Mfwende !wakuu lazima tutoe mrejesho hapa
hatimaye nimeangukia halmashauri leo
Nawashukuru ndugu zangu
nawashukuru psrs
Oral pia umefanya zote?Dah me mwenyewe Leo nimepokea mkando hatari, nilifanya written juzi jumatatu kwa kazi 2 tofauti i.e EXAMINATION OFFICER na REGISTRATION OFFICER zote NECTA kila moja ikiwa na nafasi 2. Matokeo yametoka Jana nkipenya zote na kuingia oral.