Kaparo
JF-Expert Member
- Sep 7, 2013
- 2,072
- 5,053
Kwa kweli amestahili. Kapambania tangu Majeshi.Yani huyu jamaa Nimepata furaha sana kwajili yake sijui kwanni tu
Ukienda hata zile nyuzi za polisi,uhamiaji. Alikua winga teleza kweli ktk jukwaa hili.