Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

It's not over until it's over..

Mvumilivu hula mbivu...

Jumbe nying za pongez inatosha kumshukuru Mungu Kwa maan kund kubwa la watu WALIKUWA pamoja na ww katka maombi na hatimae umepata


DON'T FORGET TO APPRECIATE THOSE GOD USES TO LIFT YOU.
 
It's not over until it's over..

Mvumilivu hula mbivu...

Jumbe nying za pongez inatosha kumshukuru Mungu Kwa maan kund kubwa la watu WALIKUWA pamoja na ww katka maombi na hatimae umepata


DON'T FORGET TO APPRECIATE THOSE GOD USES TO LIFT YOU.
Amina kaka , nikama watu mmetoka humu nakuenda kuniombea kwa PSRS wanipe kazi

nawashukuru sana ,sana.
 
Natamani kuandika kitu juu ya #Mfwende_sawadogo lakini nakosa. Mengi yamezungumzwa juu yake ya pongezi ,namm naungana na nyie wana Jf humu ,kutoa neno la pongezi kwake ....Hongera sana kaka .Mwenyez Mungu akutangulie huko kazini
Na sisi tuliobakia Mungu atusaidie one day wote tupate ...
 
Nashukuru sana champ, utafanikiwa.
 
Hong

Hongera tena kaka,mim bado naskilizia kaka ila naamin wkt wa Mungu ndo wkt sahihi... inshallah soon nami ntaleta mrejesho hapa kuwa nimepangwa sehem fulan..cku zote wakati wa Mwenyez Mungu ndo wakat sahihi
 
wakuu lazima tutoe mrejesho hapa
hatimaye nimeangukia halmashauri leo

Nawashukuru ndugu zangu
nawashukuru psrs
Hongera! Hongera! Hongera sana!! Ni sherehe hapa hatimaye mkongwe wa uzi huu umelamba asali!! Ni hakika ushuhuda wako utawatia moyo wengi!! Kumbuka kumshukuru Mungu, Jitahidi ukawe mtumishi mwema, Ningependa utoe ushuhuda kwa kirefu kuhusu safari yako ya kusaka ajira, ups and downs ulizopitia, gharama ulizotumia hadi sasa, Hii yote itawasaidia wale wanaojisikia kukata tamaa!! Hongera sana!! Hakika nimefurahi sana!!
 
Nasisitiza tena, watu wanaochangia huu uzi ili kuwapa wengine muongozo au moyo karibu wote wameshalamba asali. Kwa hiyo na wewe ukiona mtu amekata tamaa au anahitaji muongozo, jitoe kumsaidia. Kuna baraka kwenye kusaidia wengine.
 
Hongera sana,safari ni hatua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…