mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,659
Mimi nachofurahi nikwamba kupitia mm watu wengi wameona na wataona inawezekana kumbe , kikubwa ukipiga oral endelea kuvumilia, japo kuvumilia kitu usicho kiona inaumiza sana
ndugu zangu uvumilivu umenilipa, na nyie utawalipa pia.
na tuwapongeze ndugu zetu hapa jukwaani waliopo kwenye system muda mrefu kwa kutupa faraja na miongozo
we are the same family wakuu, jf ni nyumbani.