mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,659
Tunasubir mkuu ili uwape faraja joblessNasemaje nasema hivi; huu uzi umebarikiwa.... Ukichangia na kuwatakia pongezi wenzako iko siku na ww utafikiwa.
Marufuku kukata tamaa.
Ipo siku nami nitaleta mkasa wangu na idadi ya kazi nyingi sana za priivate nlizokosa pamoja na dharau nliyooneshewa mtaani hadi katika utafutaji ajira.
Psrs kwangu ilikuwa kama miujiza, wazee mambo yanawezekana kikukubwa kila hatua mshirikishe Mungu, jicho lipo na linaathiri.
Subiri nijiaandae kwenda job sasa ila mkasa wangu ups and downs nitauleta hapa as soon as possible.

😄😄Duh Naona nmebaki pekeangu mkongwe humu kila MTU keshalamba asali
Psrs mnikumbuke na Mimi ,mkongwe pekeee ambae sijapata asali
Hongera sana mkuu, ukawe mtumishi mwema.Mimi nachofurahi nikwamba kupitia mm watu wengi wameona na wataona inawezekana kumbe , kikubwa ukipiga oral endelea kuvumilia, japo kuvumilia kitu usicho kiona inaumiza sana
ndugu zangu uvumilivu umenilipa, na nyie utawalipa pia.
na tuwapongeze ndugu zetu hapa jukwaani waliopo kwenye system muda mrefu kwa kutupa faraja na miongozo
we are the same family wakuu, jf ni nyumbani.
Shukrani mkuuHongera sana mkuu, ukawe mtumishi mwema.
Wazo nzuriTunaomba PSRP ,Kama mtu umepata placement ...watutumie na Email / message /call. maana kwa mwendo huu unaweza jikuta unasema unasubiria Placement ...Kumbe ulishaitwaga kazini tokea january ila Pdf.. hukuliona , au kwenye Account yako kuwe na notification.[emoji1]
Yes, mkuu First appearance matter. Lakini pia asiponunua vitu hivyo kipindi hiki bado hana majukumu akisubiri hadi watoto waanze kupanda school bus ya njano ndio basi tenaYaani unamaanisha atumie zaidi ya laki tano kujiimarisha kimwonekano daah[emoji1]
Ukiona ofisi wasailiwa wanapewa chai basi watumishi wa hapo asali inamwagika. Kila la heri mremboAsante mkuu,kivumbi ndo leo
Tuko ukumbini ndo tunajisajil,then tupate tea na mtanange uanze
Mungu ni mwema🙏🙏
Huu mwaka wa CDO's hongeren sanaa..
Ndugu zangu Nashukuru kwa comments zenu, sijaweza ku reply kulingana kwamba ni nyingi sana ila nimehakikisha nai like kila comments,hakika ninyi ni familia yangu
nafahamu nimetoa somo la uvumilivu kwa watafutaji wengi, maana nimesubiri miezi nane coz placement zilitoka (february)
Namimi leo naamini selected for oral kwenye App yao ina maana kubwa katika kupata kazi kwa hiyo
tusikate tamaa.
nikweli nimepitia mengi, nilipenda majeshi hasa uhamiaji nilipokosa kule nikatilia mkazo huku.database imenitoa mtaani coz nikajua nimesahaulika.
nawatakia kheri ambao hamjapata ikiwezekana mpate taasis nzuri na kwa wakati.
mwisho ahsante psrs,mmenitoa jalalani (in proff kabudi voice)
Hongera tena kaka,mim bado naskilizia kaka ila naamin wkt wa Mungu ndo wkt sahihi... inshallah soon nami ntaleta mrejesho hapa kuwa nimepangwa sehem fulan..cku zote wakati wa Mwenyez Mungu ndo wakat sahihiNdugu zangu Nashukuru kwa comments zenu, sijaweza ku reply kulingana kwamba ni nyingi sana ila nimehakikisha nai like kila comments,hakika ninyi ni familia yangu
nafahamu nimetoa somo la uvumilivu kwa watafutaji wengi, maana nimesubiri miezi nane coz placement zilitoka (february)
Namimi leo naamini selected for oral kwenye App yao ina maana kubwa katika kupata kazi kwa hiyo
tusikate tamaa.
nikweli nimepitia mengi, nilipenda majeshi hasa uhamiaji nilipokosa kule nikatilia mkazo huku.database imenitoa mtaani coz nikajua nimesahaulika.
nawatakia kheri ambao hamjapata ikiwezekana mpate taasis nzuri na kwa wakati.
mwisho ahsante psrs,mmenitoa jalalani (in proff kabudi voice)
Kabisa mkuuMimi nachofurahi nikwamba kupitia mm watu wengi wameona na wataona inawezekana kumbe , kikubwa ukipiga oral endelea kuvumilia, japo kuvumilia kitu usicho kiona inaumiza sana
ndugu zangu uvumilivu umenilipa, na nyie utawalipa pia.
na tuwapongeze ndugu zetu hapa jukwaani waliopo kwenye system muda mrefu kwa kutupa faraja na miongozo
we are the same family wakuu, jf ni nyumbani.
CDO's nakwambia mwaka huu wao...na badommmhhh CDO si mchezo uko.....
Hongera sana mkuu ukawe mtumishi mwemaaaa.wakuu lazima tutoe mrejesho hapa
hatimaye nimeangukia halmashauri leo
Nawashukuru ndugu zangu
nawashukuru psrs
Acha kabisa usiongee kuhusu ma bus ya njano na landlord maana vimenipa somo kuwa Baba sio jina tu aisee.Yes, mkuu First appearance matter. Lakini pia asiponunua vitu hivyo kipindi hiki bado hana majukumu akisubiri hadi watoto waanze kupanda school bus ya njano ndio basi tena
Naona PSRS wameamua kufuta majobless kwenye huu uzi tuwaombee wengine wapate ili tubadilishe Kichwa cha thread .
Yaan mm mwenyew nimeshangaa kidogo kuona wanapata chai kwanz kbl ya kukandwa[emoji1787][emoji1787][emoji119]Ukiona ofisi wasailiwa wanapewa chai basi watumishi wa hapo asali inamwagika. Kila la heri mrembo
Interview za BOT ndo zilivyo hapo hadi lunch mnapata halafu ni kitu cha bufee yaniYaan mm mwenyew nimeshangaa kidogo kuona wanapata chai kwanz kbl ya kukandwa[emoji1787][emoji1787][emoji119]
Sent from my TECNO KH6 using JamiiForums mobile app