Mi leo nafungua meza buguruni sokoni nikauze mboga mbogab
bonge la topic man maana kitaa hakukaliki. Nishajiendeaga hadi machimboni chunya lkn bdo life halijanipa haueni .nikarudi bongo dili la usimamiz wa sensa kidogo likanipa unafuu Nakumiliki geto la ngwea.Nimejaribu kulizia mishe viwandani malipo mengi ya kimagushi mno 5k per day. Kubeti sitamani coz nafahamu bet zilivoteketeza boom langu. Huwa na waza sana hzi trip Domu za usaili jobles ambae hauna mishe uta afford vipi. Ama nauli mnaomba skani nini? Tupeni ramani wazee mnapunguzaje ukali wa maisha huku kitaani jobless wenzangu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unakuta manzi yeye ni jobless afu anataka mwenye kazi sasa sisi jobless tupendwe na nani??
Haya mambo haya, naomba nitoe ushuhuda, me kipindi nipo chuo nlikuwa na hela mno, ni hivi vibiashara vyangu na kidogo walezi wangu walikuwa vizuri na elimu wanaithamini sana. Nlikuwa na boy friend wangu akiniomba 5000, 10,000 sion shida kumpa. Kidogo kwao hawakuwa vizuri na yeye ndo first born, vitu vya ndani nanunua nampa, akija hostel namchambulia vitu nampa, hadi nlimpa jiko la umeme awe anapikia kwake maana chuo warden alikaza. Inshort nlimbeba sana. Nauli za chuo nampa hapo yeye ndo anasoma CPA. Aisee baadae akalamba asali bana TRA, kama custom officer, na mimi nkamaliza chuo maisha yakanipiga, akabadilika kabisa kabisa, nkawa nalia na mapenzi wee[emoji23][emoji1787], akahamishiwa Dar nkahisi labda shida ilikuwa long distance rship, Dar wakamuweka TPA, aisee na mapenzi yakaisha kabisa na mimi nkasema hamna changu hapa, kama ni pesa najua kuitafuta. From then aisee nkajisemea kumbe haya mambo sio ya wadada peke yao. Ata mdada unaweza mvumilia jobless mwenzio hapa akilamba asali tu ndo anakuonaje sijui [emoji1787]. Kikubwa upendo tu.
pambana mkuuMi leo nafungua meza buguruni sokoni nikauze mboga mboga
Leo ndiyo siku ya mikeka tukae mkao wa kulaleo ndo siku ambayo mmoja wetu alituambia psrs wanatoaga placement jumanne
Yeye anazo hizo funguo tatu?Tuanzie hapo kwanza.Vijisenti vinatia kiburi sijui kwa nini kwa watu wote(Me na Ke).
Utasikia "Huyu sio type yangu"
Kuna mdada mmoja katika kupiga story, mada ya wachumba ikaingia.
Yeye alidai anataka mwanaume mwenye funguo 3. Ufunguo wa Nyumba, Gari na Duka.
Mwanamke kama huyu ni rahisi kukupiga kibuti akivipata hivyo kwa mwanaume mwingine
Please, njoo PM nikupe account yangu ya biashara[emoji1431]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]asaivi manzi akinipiga kibuti namulaani kabisa hahhh
Tukae mkao wa kulaleo ndo siku ambayo mmoja wetu alituambia psrs wanatoaga placement jumanne
Vijisenti vinatia kiburi sijui kwa nini kwa watu wote(Me na Ke).
Utasikia "Huyu sio type yangu"
Kuna mdada mmoja katika kupiga story, mada ya wachumba ikaingia.
Yeye alidai anataka mwanaume mwenye funguo 3. Ufunguo wa Nyumba, Gari na Duka.
Mwanamke kama huyu ni rahisi kukupiga kibuti akivipata hivyo kwa mwanaume mwingine
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahaha, duh! Mkuu, mbona mnafanya maisha ya Jf yawe magumu sana.
Hili jibu lako limenifanya niende kutafuta Panadol kupoza maumivu.
Hujui tu hiyo picha yako ni kwa kiasi gani imefanya wanaume humu tukupe ukarimu wa hali ya juu.
Siumeona wizy alivyokuwa anapata tabu ya kuhakikisha kila ujumbe wako anaukomenti, unadhani angejua ni kidume mwenzetu angehangaika!
Nina kijiwe ambacho nafanya kazi ya taaluma yangu.Which job
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
HanaYeye anazo hizo funguo tatu?Tuanzie hapo kwanza.
Imagine hadi Avatar zinazimikiwa[emoji3][emoji3][emoji3]Hahaha, Mkuu kitu nimegundua wanawake Jf huwa wanapewa attention sana na wanaume.
Hapana, mimi nafanya biashara yangu kama yangu ninayoijua from mizizi. Baada ya kupata changamoto na kupoteza duka sasa hivi nauza online, maisha yanaendeleaZile za waunge watu kumi
Duh, mama ako ni mwanamke usiseme hiviHahaha, kabisa Mkuu, kuna muda unaweza tamani Mungu aunde kiumbe kipya mbadala ya mwanamke.
Mwanamke ameshindwa kutimiza majukumu yake ipasavyo, badala yake amejikita kwenye jukumu la TRA (Kukusanya mapato).
Nakubaliana na wewe kakaDuh! Mkuu, pole sana. Jamaa ametusaliti wanaume, mbona wengi tunatafuta wanamke wanaojitambua hivyo!
Tafadhali usiruhusu akufanye uwachukie majobless wenzio. Hata wenye kazi, wapo wenye akili mbovu kama huyo au zaidi.