Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

wakuu lazima tutoe mrejesho hapa
hatimaye nimeangukia halmashauri leo

Nawashukuru ndugu zangu
nawashukuru psrs
Aisee nimechelewa hivi, Sawadogo Sawadogo, Sawadogo hakika Mungu ameona huu ndio wakati wako, hongera sana mwamba. Vijana watafuta asali tunavingi vya kujifunza kutoka kwako, mapambano, uvumilivu ni chachu uliyotuachia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…