PSRS TUNAOMBA MUENDELEE KUTOA ADVERTS ILI TUONGEZEE RECEIVED. MANA PAMEKAUKA HASA KWA WATU WA IT.Kipindi cha jiwe watu 8000+ walifutwa kazi kwa vyeti feki, kuna waliostaafu, waliofariki, walioacha n.k Bado kuna magap mengi vijana wachape received.
Hongera ulikuwa unaweweseka sana Mungu kakuona hatimayeHatimaye pdf la Leo na mimi nimelamba asali
Hongera sana mwamba!!Hatimaye pdf la Leo na mimi nimelamba asali
IT pagumuu sana dah yaani mkeka wa watu 300 400 IT mmoja noma sanaPSRS TUNAOMBA MUENDELEE KUTOA ADVERTS ILI TUONGEZEE RECEIVED. MANA PAMEKAUKA HASA KWA WATU WA IT.
Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
Hongera mwambaHatimaye pdf la Leo na mimi nimelamba asali
[emoji28][emoji28]nilikata tamaa kabisaHongera ulikuwa unaweweseka sana Mungu kakuona hatimaye
Asante sanaHongera sana mwamba!!
Interview umepiga lini mkuu[emoji28][emoji28]nilikata tamaa kabisa
Mwezi wa 7 mwaka huuInterview umepiga lini mkuu
Hongera sana mkuu, ukachape kazi ukawe pia mtumishi mwemaHatimaye pdf la Leo na mimi nimelamba asali
Wa 10 umelamba asali hongera champMwezi wa 7 mwaka huu
Hongera sana kaka ukawe mtumishi mwema.Hatimaye pdf la Leo na mimi nimelamba asali
Mimi sio kaka,ni dada .. Asante sanaHongera sana kaka ukawe mtumishi mwema.
Asante sanaWa 10 umelamba asali hongera champ
[emoji120][emoji120][emoji120]Hongera sana mkuu, ukachape kazi ukawe pia mtumishi mwema